Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhispania ilipiga marufuku EU kuisaidia Marekani katika Bahari Nyekundu, - gazeti la El Confidencial.Waarabu walikuwa akina Osama na Mulla Omary hawa wengine ni wala kitimoto tu na alkasusu
Jamaa uwa punguani sana ana chuki kali sana na Waislam sijui walimkosea niini. Na safari atapata ugonjwa wa moyo.Unatapika pure stupidity. Unadhani vita ni uwanja wa kutupiana maneno? Watu wanapoteza maisha alafu wewe unaleta maneno ya kanga.
angalia press za HAMAS zote, kila wakiongea wanasema adui yao zayuni anateketeza watu wao na miji yao, na wanauliza mbona international community haiwazuii, mbona marekani anawaunga mkono, wajinga wakubwa wamesahamu wao ndio walianzisha vita. ndio ujinga wa magaidi ndio maana wazayuni wanawavua nguo mbele ya watoto wao.Unatapika pure stupidity. Unadhani vita ni uwanja wa kutupiana maneno? Watu wanapoteza maisha alafu wewe unaleta maneno ya kanga.
Ndio maana nikampotezeaUmejibu swali? Nchi namba moja kwa kuvunja sheria za kimataifa ni Marekani hapa unaandika mapambio yasiyo na mantiki.
Vita alianzisha israhell kutoka huko alipotoka akaja kukaa hapoangalia press za HAMAS zote, kila wakiongea wanasema adui yao zayuni anateketeza watu wao na miji yao, na wanauliza mbona international community haiwazuii, mbona marekani anawaunga mkono, wajinga wakubwa wamesahamu wao ndio walianzisha vita. ndio ujinga wa magaidi ndio maana wazayuni wanawavua nguo mbele ya watoto wao.
waarabu nao (wapalestina) si warudi kwao misri na jordan? hapajawahi kuwepo taifa la palestina hapo. tuambie lini lilikuwepo.Vita alianzisha israhell kutoka huko alipotoka akaja kukaa hapo
Arudi alipotoka hata mie ntakua wakwanza kulaani atakae enda kumripua huko atakapokua na ntaungana kuitetea israhell
Ila kwa hapo walipo wanatakiwa wapigwe wafe kwa wingi
Unaaza kuchanganyikiwa sasa!Katika muktadha wa kutoitokomeza Yemen kwa nuclear na ubabe mtupu bila kuangalia proportion wanaheshimu sheria za kimataifa, kutamba kwa Yemen hakutokani na Marekani kushindwa kuiangamiza Yemen kwa nuclear na ubabe mtupu usio na proportion.
Nimeongelea a very specific point kuhusu nuclear war na proportionate response.
Mobona wewe ndiye unakuwa huna akili sasa?
Nuance please.
Hii ni kauli ya kiimani ambayo hujaitolea ushahidi.Unaaza kuchanganyikiwa sasa!
Sijawahi kuona USA akiheshimu taratibu za kimataifa za kivita.Umaweza hata kufuatilia mada kimantiki?
Hukuona hapo juu kwamba mikwala yote ya Yemen ni kwa sababu katika hiki US wanafuatilia the rule of international consesus and international law?
SAsa utasemaje tena kama US ana nuclear mbona UN wamezipiga marufuku?
Una uwezo wa kutenganisha military might na geopolitical nuance?
Naona huwezi, ndiyo maana hatuelewani.
Mimi nakwambia huyu jamaa US ana Black Belt ya Karate, hiki kitoto Yemen kinatamba na kupiga mikwala kwa sababu huyu jamaa anaheshimu kanuni za Black Belt ya Karate asipige watu ovyo, kwa sababu anaweza kuua ndani ya dakika moja tu.
Wewe unaniuliza, sasa kama US ana Black Belt mbona anakatazwa kupiga watu ovyo?
Hilo swali lako lina make sense vipi?
Sijalinganisha Yemen na USA.Unalinganusha Yemen na Marekani. Lazima nichoke tu.
Unaona ulivyo unachekesha????!!!!shida yenu inakuwaga kitu kidogo sana. elimu elimu elimu. huwa mko tayari kuamini kile mnachodanganywa na watu wasio na elimu huko kwenye majumba yenu badala ya kufanya tafiti ya kutosha ili mjue kama mnadanganywa au la. kwa kifupi, hapajawahi kuwepo taifa linaloitwa Palestine, never on earth. hata kwenye kitabu chenu halipo wakati Israel ipo. Pia, jina lenyewe la Palestine lililetwa na makafir tu. kidoogo sana wakati wa utawala wa British, walitaka kufanya maandalizi ili wawapatie waarabu waliokuwa wamevamia hilo eneo la wayahudi ili wawe na nchi, ni kipindi kile cha british mandate baada ya kuporwa ottoman. na, hapo walijaribu kutengeneza na sarafu na maandalizi yalishaanza. kabla hata hawajaunda hilo taifa, Wazayuni wanarudi, wakaunda. hao wapalestina wote ni wafilisti ambao wamekuwa wakipigana na wayahudi eneo hilo miaka zaidi ya 3000 na walikuwe eneo la Gaza tu. na majority yao ni waarabu wahamiaji toka jordan, misri, syria na maeneo mengine ya kiarabu ndio maana hata sura zao zina variaty nyingi sana, wengine kama wazungu wengine weusi kidogo wengine waarabu fulani n.k.
Unasema nisikuletee historia ya Biblia, ambayo imeandikwa miaka zaidi ya 1500 kabla mtume wako hajazaliwa? hauamini kitu kilicho exist for years, unakuja kuamini uongo alioleta mtu aliyezaliwa juzi? hivi unajua uislam duniani una miaka 1400 tu, wakati Biblia ina miaka zaidi ya mara mbili yake, ndio unasema tuiiamini?
basi nikuletee historia za kawaida za taifa lako, niachane na Bible ambayo huipendi kwasababu inaongea ukweli.
View attachment 2850944
We akili hauna.angalia press za HAMAS zote, kila wakiongea wanasema adui yao zayuni anateketeza watu wao na miji yao, na wanauliza mbona international community haiwazuii, mbona marekani anawaunga mkono, wajinga wakubwa wamesahamu wao ndio walianzisha vita. ndio ujinga wa magaidi ndio maana wazayuni wanawavua nguo mbele ya watoto wao.