Yemen yasema ipo mbioni kuzamisha Carrier za US

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
*🚨🚨🚨Update: Yemen's Houthis now say they will sink the USS Theodore Roosevelt aircraft carrier upon its arrival to the Red Sea using advanced Iranian and Russian anti-ship missiles! 🔥🔥🔥

*Putin intends to supply anti-ship missiles to Yemen.

Moscow is coordinating with the Houthis as part of a growing anti-Western alliance.

*Russia's ties with North Korea, and support for Hamas and Hezbollah, complicate US and NATO strategies, divert attention, and heighten global geopolitical tensions.

IMG_20240703_174403.jpg
IMG_20240703_174938.jpg
 
Yeme ndio nchi maskini kuliko zote za kiislam inazidiwa hata na Somalia ,mpumbavu zao wameuwa uchumi na kusababisha nchi kutotawalika na ugonvi wao wa shia vs sunn hadi leo

USSR
 
Wakati huo huo kwa kuhofia mkakati.
huo Saudi Arabia imeanza kumshawishi Russia asipeleke makombora hayo ya kuzamisha meli kubwa za Kijeshi Nchi Yemen

NEW:

🇸🇦🇷🇺🇾🇪 Saudi Crown Prince Mohammed Bin Salman is trying in every way to convince Putin not to send anti-ship cruise missiles to the Houthis - Newsweek

"Among those seeking to dissuade such a move is Saudi Crown Prince Mohammed bin Salman, MEE reported, who in December spoke with Putin and reportedly spoke against the idea of sending new missiles to the Houthis." the media wrote
 
Attachments

  • IMG_20240703_181420.jpg
    IMG_20240703_181420.jpg
    109.9 KB · Views: 5
Yeme ndio nchi maskini kuliko zote za kiislam inazidiwa hata na Somalia ,mpumbavu zao wameuwa uchumi na kusababisha nchi kutotawalika na ugonvi wao wa shia vs sunn hadi leo

USSR
dogo nani anaye kuambia Yemen nchi masikini wewe, tatizo lako we unasikiliza story za vijiweni.

Yemen ni matajiri kuliko hadi Saud Arabia ni Saud Arabia na US ndio wanao leta fitna huko miaka wanawahonga nchi zisiende chimba mafuta Yemen.

We unataka kuifananisha Yemen na Somali, we chizi nini hata Tanzania+uganda+kenya hawaoni kwa utajiri wa Yemen.
 
Wakati huo huo kwa kuhofia mkakati.
huo Saudi Arabia imeanza kumshawishi Russia asipeleke makombora hayo ya kuzamisha meli kubwa za Kijeshi Nchi Yemen

NEW:

🇸🇦🇷🇺🇾🇪 Saudi Crown Prince Mohammed Bin Salman is trying in every way to convince Putin not to send anti-ship cruise missiles to the Houthis - Newsweek

"Among those seeking to dissuade such a move is Saudi Crown Prince Mohammed bin Salman, MEE reported, who in December spoke with Putin and reportedly spoke against the idea of sending new missiles to the Houthis." the media wrote
aende kwanza akamshawishi mmarekani na mashost zake wasipeleke misaada ya silaha ukraine
 
Yeme ndio nchi maskini kuliko zote za kiislam inazidiwa hata na Somalia ,mpumbavu zao wameuwa uchumi na kusababisha nchi kutotawalika na ugonvi wao wa shia vs sunn hadi leo

USSR
Embu acha uongo,ugomvi wa Yemeni ulikua wa madaraka sio shia vs Sunni.
Kundi la Houthi wapo shia na Sunni pia.
Tokea 1990s Yemeni imekua na migogoro ya utawala sio ya kidini.
 
Huu ni uongo wa dhahiri kabisa na kama ni hivyo basi Iran na Saudi Arabia waliingiaje kwenye mzozo huo.
 
Yeme ndio nchi maskini kuliko zote za kiislam inazidiwa hata na Somalia ,mpumbavu zao wameuwa uchumi na kusababisha nchi kutotawalika na ugonvi wao wa shia vs sunn hadi leo

USSR

Kwani Tanzania ni tajiri au wewe ni kada wa CCM unapata mlo wa bure Lumumba ??
 
Yaani waislam ndio typical waswahili na hii tabia wameichukua kwa waarabu ni watu maarufu sana kwa kutoa vitisho na mikwara kibao lakini hamna lolote.

Nyinyi tabia yenu ni ushoga tunaielewa

1720092425059.jpeg
 
Yeme ndio nchi maskini kuliko zote za kiislam inazidiwa hata na Somalia ,mpumbavu zao wameuwa uchumi na kusababisha nchi kutotawalika na ugonvi wao wa shia vs sunn hadi leo

USSR
Pale siyo ugomvi wa Shia na Sunn ni Ugomvi wa US na Iran!
 
*🚨🚨🚨Update: Yemen's Houthis now say they will sink the USS Theodore Roosevelt aircraft carrier upon its arrival to the Red Sea using advanced Iranian and Russian anti-ship missiles! 🔥🔥🔥

*Putin intends to supply anti-ship missiles to Yemen.

Moscow is coordinating with the Houthis as part of a growing anti-Western alliance.

*Russia's ties with North Korea, and support for Hamas and Hezbollah, complicate US and NATO strategies, divert attention, and heighten global geopolitical tensions.

View attachment 3032678View attachment 3032679
Hivi hao washkaji huwa unawasiliana nao moja kwa moja? Make habari zao huwa zinapatikanaga kwako tuu.
 
Back
Top Bottom