Yemen yasema ipo mbioni kuzamisha Carrier za US

Yemen yasema ipo mbioni kuzamisha Carrier za US

MBONA NIMEKUWEKEA SABABU HII HAPA AU HUIONI???

View attachment 3033336
Wewe ni muongo
Screenshot_20240707-170244.png
 
Mimi siandiki biblia wala sitafsiri, sina mamlaka hayo

Hiyo ni tafsiri ya biblia yenu Jehovah Witnesses, imechakachuliwa,

Towashi ni eunuch kwa kiengereza
Ukiangalia kwenye biblia za kiengereza watu hao wameandikwa kuwa ni eunuch , na tafsiri niliyoletewa na , imeloa ni ni hii

eunuch
/ˈjuːnək/
noun
a man who has been castrated, especially (in the past) one employed to guard the women's living areas in an Asian court.
*******************************************
Please be informed accordingly.

KAMA WATU HAO WANAWEZA KUINGIA KWENYE MKUTANO WA BWANA , AGANO LA KALE LINASEMA WATU HAO HAWAINGII

The Darby Translation Bible

1 He that is a eunuch, whether he have been crushed or cut, shall not come into the congregation of Jehovah.

Douay-Rheims Catholic Bible

1 An eunuch, whose testicles are broken or cut away, or yard cut off, shall not enter into the church of the Lord.

Hapa kuna contradiction iliyofanywa na waliotafsiri ili kuepuka kuweka jina la wasenge , Gays na ndio ukifungua kwenye biblia ya Queen James version, wao, huyo eunuch wametafsiri kama ilivyokuwa asilia kuwa ni wasenge, GAYS kuepuka mkanganyiko
 
Wamuulize Japs na kamikaze wake kilichowakuta mpaka leo imebaki historia na Mjapani hataki tena ugomvi.

Mpaka sasa naamini hakuna jeshi lililokuwa na nguvu huko Pacific, Asia mpaka middle east kuliko Japani.

Mjapani ndio Taifa pekee duniani mpaka sasa lilliwoweza kuishambulia USA na kuwa na uthubutu wa kuishambulia USA.
Unaelezea past stories.
Hiyo Japan sasa hivi haiiwezi North Korea.
Wachana na historia,tutazame sasa mambo yakoje.
Huyo USA kashaingia mapigano mengi na amefeli kama unataka tunaweza kukutajia hapa.
 
dogo nani anaye kuambia Yemen nchi masikini wewe, tatizo lako we unasikiliza story za vijiweni.

Yemen ni matajiri kuliko hadi Saud Arabia ni Saud Arabia na US ndio wanao leta fitna huko miaka wanawahonga nchi zisiende chimba mafuta Yemen.

We unataka kuifananisha Yemen na Somali, we chizi nini hata Tanzania+uganda+kenya hawaoni kwa utajiri wa Yemen.
Umemjibu vzuri sana huyo kilaza
 
Mimi siandiki biblia

Eunuch ni Nani kwa mujibu wa biblia yako hiyo ?
Eunuki ni mwanaume ambaye amekatwa korodani, kawaida mapema maishani hadi kuwa na athari kubwa za homoni. Kihistoria, eunuki walikuwa wakiajiriwa katika nafasi kama vile watumishi wa ikulu, walinzi wa harem, na wakati mwingine hata kama maafisa wa serikali, hasa katika jamii za kale na za enzi za kati. Zoezi la kuwakata korodani wanaume ili kuwafanya eunuki lilifanyika kwa sababu mbalimbali za kijamii, kisiasa, na kiuchumi.
 
Shukrani sana ila biblia imesema watu hao hawaingii katika mkusanyiko wa Bwana
 
Mimi siandiki biblia wala sitafsiri, sina mamlaka hayo

Hiyo ni tafsiri ya biblia yenu Jehovah Witnesses, imechakachuliwa,

Towashi ni eunuch kwa kiengereza
Ukiangalia kwenye biblia za kiengereza watu hao wameandikwa kuwa ni eunuch , na tafsiri niliyoletewa na , imeloa ni ni hii

eunuch
/ˈjuːnək/
noun
a man who has been castrated, especially (in the past) one employed to guard the women's living areas in an Asian court.
*******************************************
Please be informed accordingly.

KAMA WATU HAO WANAWEZA KUINGIA KWENYE MKUTANO WA BWANA , AGANO LA KALE LINASEMA WATU HAO HAWAINGII

The Darby Translation Bible

1 He that is a eunuch, whether he have been crushed or cut, shall not come into the congregation of Jehovah.

Douay-Rheims Catholic Bible

1 An eunuch, whose testicles are broken or cut away, or yard cut off, shall not enter into the church of the Lord.

Hapa kuna contradiction iliyofanywa na waliotafsiri ili kuepuka kuweka jina la wasenge , Gays na ndio ukifungua kwenye biblia ya Queen James version, wao, huyo eunuch wametafsiri kama ilivyokuwa asilia kuwa ni wasenge, GAYS kuepuka mkanganyiko
Endelea kusoma vizuri English language na Kiswahili ili ufahamu tofauti ya

(Hanisi na Shoga)......

(A gay and an Eunuch)...
 
unajidanganya sana, unadhani chadema hao kama kuku aliepotea? Mpira wa baskeli ukipasuka wao wanaenda mbio?
Mkuu, mbona jina lako kama linajieleza vizuri katika mchango wako kwenye hoja hii!!
 
Sipati picha mkong'oto watakao kula wakisubutu kufanya hivyo. Kutulia Kwa USA hawa jamaa wanafikiri wanaiweza
 
Kwa dunia ya sasa kutegembea hayo macarrier ni uendawazim .Carrier ni very high asset ikiwa na ndege inaweza kuwa na thamani trillion 120 .nchi kama iran ikitumia walau hat trillion moja kurusha makombora kama kule Israeli si destroyer wala Carrier zitawza kusurvival .amna distorryer inawwza kupangua missile 600 kwa mpigo
 
Sipati picha mkong'oto watakao kula wakisubutu kufanya hivyo. Kutulia Kwa USA hawa jamaa wanafikiri wanaiweza
Kitakachomtokea USA Yemen ni kama kilichomtokea alivyokuwa Somalia dhidi ya Farah Aidid.
 
Endelea kusoma vizuri English language na Kiswahili ili ufahamu tofauti ya

(Hanisi na Shoga)......

(A gay and an Eunuch)...

Anza wewe kusoma

Shoga kwa kiswahili si neno baya ni rafiki kati ya mwanamke na mwanamke

Khanithi sio Hanisi , ni mtu anayefi--wa au msenge

Kwa watanganyika neno shoga limegeuzwa kuwa ni Khanithi au mnavyoita hanisi

English - eunuch

Swahili - towashi
 
Mzee ina maana hujui balaa linaloendelea pale red sea, hadi leo meli hazipiti pamoja na marekani kupeleka meli zake za kijeshi almost mwaka sasa hakuna aliyeweza kuwadhibiti houthi
 
Marekani wamekiona hicho kitisho ndipo wakaamua kuhamisha meli zao kimya kimya.
 
Back
Top Bottom