green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
unajidanganya sana, unadhani chadema hao kama kuku aliepotea? Mpira wa baskeli ukipasuka wao wanaenda mbio?Wanachokitafuta watakipata, hao watawaponza ndugu zao.
Wakati huo huo kwa kuhofia mkakati.Yeme ndio nchi maskini kuliko zote za kiislam inazidiwa hata na Somalia ,mpumbavu zao wameuwa uchumi na kusababisha nchi kutotawalika na ugonvi wao wa shia vs sunn hadi leo
USSR
dogo nani anaye kuambia Yemen nchi masikini wewe, tatizo lako we unasikiliza story za vijiweni.Yeme ndio nchi maskini kuliko zote za kiislam inazidiwa hata na Somalia ,mpumbavu zao wameuwa uchumi na kusababisha nchi kutotawalika na ugonvi wao wa shia vs sunn hadi leo
USSR
aende kwanza akamshawishi mmarekani na mashost zake wasipeleke misaada ya silaha ukraineWakati huo huo kwa kuhofia mkakati.
huo Saudi Arabia imeanza kumshawishi Russia asipeleke makombora hayo ya kuzamisha meli kubwa za Kijeshi Nchi Yemen
NEW:
🇸🇦🇷🇺🇾🇪 Saudi Crown Prince Mohammed Bin Salman is trying in every way to convince Putin not to send anti-ship cruise missiles to the Houthis - Newsweek
"Among those seeking to dissuade such a move is Saudi Crown Prince Mohammed bin Salman, MEE reported, who in December spoke with Putin and reportedly spoke against the idea of sending new missiles to the Houthis." the media wrote
Wamedumaza mpaka uchumi wa hao mabwana zenu,hakuna Meli inakatiza Red sea,Yeme ndio nchi maskini kuliko zote za kiislam inazidiwa hata na Somalia ,mpumbavu zao wameuwa uchumi na kusababisha nchi kutotawalika na ugonvi wao wa shia vs sunn hadi leo
USSR
Embu acha uongo,ugomvi wa Yemeni ulikua wa madaraka sio shia vs Sunni.Yeme ndio nchi maskini kuliko zote za kiislam inazidiwa hata na Somalia ,mpumbavu zao wameuwa uchumi na kusababisha nchi kutotawalika na ugonvi wao wa shia vs sunn hadi leo
USSR
Kungekuwepo na maduka ya kuuza akili ningekushauri uende unanunue!unajidanganya sana, unadhani chadema hao kama kuku aliepotea? Mpira wa baskeli ukipasuka wao wanaenda mbio?
Wanachokitafuta watakipata, hao watawaponza ndugu zao.
Huu ni uongo wa dhahiri kabisa na kama ni hivyo basi Iran na Saudi Arabia waliingiaje kwenye mzozo huo.Embu acha uongo,ugomvi wa Yemeni ulikua wa madaraka sio shia vs Sunni.
Kundi la Houthi wapo shia na Sunni pia.
Tokea 1990s Yemeni imekua na migogoro ya utawala sio ya kidini.
Yeme ndio nchi maskini kuliko zote za kiislam inazidiwa hata na Somalia ,mpumbavu zao wameuwa uchumi na kusababisha nchi kutotawalika na ugonvi wao wa shia vs sunn hadi leo
USSR
Yaani waislam ndio typical waswahili na hii tabia wameichukua kwa waarabu ni watu maarufu sana kwa kutoa vitisho na mikwara kibao lakini hamna lolote.
Tumeuliza kwa nini Mohammed alikuwa akinyonya ulimi wa mwanamume mwenzake lakini hamjibu. Kwa nini hutaki kuondoa boriti iliyoko kwenye jicho lako kwanza..❓
Pale siyo ugomvi wa Shia na Sunn ni Ugomvi wa US na Iran!Yeme ndio nchi maskini kuliko zote za kiislam inazidiwa hata na Somalia ,mpumbavu zao wameuwa uchumi na kusababisha nchi kutotawalika na ugonvi wao wa shia vs sunn hadi leo
USSR
Tumeuliza kwa nini Mohammed alikuwa akinyonya ulimi wa mwanamume mwenzake lakini hamjibu. Kwa nini hutaki kuondoa boriti iliyoko kwenye jicho lako kwanza..❓
Hivi hao washkaji huwa unawasiliana nao moja kwa moja? Make habari zao huwa zinapatikanaga kwako tuu.*🚨🚨🚨Update: Yemen's Houthis now say they will sink the USS Theodore Roosevelt aircraft carrier upon its arrival to the Red Sea using advanced Iranian and Russian anti-ship missiles! 🔥🔥🔥
*Putin intends to supply anti-ship missiles to Yemen.
Moscow is coordinating with the Houthis as part of a growing anti-Western alliance.
*Russia's ties with North Korea, and support for Hamas and Hezbollah, complicate US and NATO strategies, divert attention, and heighten global geopolitical tensions.
View attachment 3032678View attachment 3032679