Taarifa rasmi ya msemaji wa jeshi na video ya hatua nzima ya kuipiga komborq ikiwa umbali wa zaidi ya 10km angani nimeambatanisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamasi wangekuwa na Angalau hivyo vifaa myahudi angeita maji mmanJamaaa wAna shabaha atari
Kudungua drone hakuhitaji shabaha. Ni kuwa na silaha husika kwa sehemu husika na kwa wakati sahihi. Hata S-128 Neva iliyoundwa wakati Tanganyika tunapata uhuru inaweza dungua MQ-9Jamaaa wAna shabaha atari
Syria, Yemen na Egypt tena kipindi Egypt ina nguvu kuliko nchi zote hapo Middle East walijaribu mara mbili kwa pamoja wakashindwa.Hamasi wangekuwa na Angalau hivyo vifaa myahudi angeita maji mman
Drone ya Karne ya 21,iliyoundwa kutoonekana kwenye rada haiwezi dunguliwa na silaha ya 1960,acha uwongo,najua unaumia kuona vifaa vya chama lako unalolikubali kuonekana dhaifuKudungua drone hakuhitaji shabaha. Ni kuwa na silaha husika kwa sehemu husika na kwa wakati sahihi. Hata S-128 Neva iliyoundwa wakati Tanganyika tunapata uhuru inaweza dungua MQ-9
Houthi sio Hamas.Wakila kichapo wanalalamika
MQ-9 haijaundwa kutoonekana kwenye radar kama hujui uliza. Imeundwa kwa ajili ya nchi njaa zisizo na air defense ya uhakika. Popote penye comfirmed presence ya air defense MQ-9 haipelekwi uko.Drone ya Karne ya 21,iliyoundwa kutoonekana kwenye rada haiwezi dunguliwa na silaha ya 1960,acha uwongo,najua unaumia kuona vifaa vya chama lako unalolikubali kuonekana dhaifu
Hahahah kweli ila inaonekana wapo na sapoti ya IranHouthi sio Hamas.
USA kuanzia 2014 mpaka 2021 alifadhili vita ya kuwaua hao Houthi,ila alichokipata hatoweza kusahau.
Hao wayemen wanagonga shaba wewe.
Pole kwa maumivu,Syria, Yemen na Egypt tena kipindi Egypt ina nguvu kuliko nchi zote hapo Middle East walijaribu mara mbili kwa pamoja wakashindwa.
Yemen wanasema kudungua drone ya sita ndani ya miezi kadhaa au miaka. Israel iliwahi haribu ndege zaidi ya 200 za Egypt kwa usiku mmoja, zaidi ya nusu ya ndege za Egyptian Airforce.
Mkuu hii ni ndege iliyo tumia gharama kubwa kutengenezwa hivyo haiwezi kuwa dhaifu kiasi hichi kama unavyo razimisha kutuaminisha.MQ-9 haijaundwa kutoonekana kwenye radar kama hujui uliza. Imeundwa kwa ajili ya nchi njaa zisizo na air defense ya uhakika. Popote penye comfirmed presence ya air defense MQ-9 haipelekwi uko.
Of all things, Reaper sio stealth drone. Inaonekana kwenye radar kuliko hata fighter jets za miaka ya 1970
Hamasi wangekuwa na Angalau hivyo vifaa myahudi angeita majiJamaaa wAna shabaha atari
Bado mnakuwa na illusion tu na hizo poroji za miaka 30 nyumaSyria, Yemen na Egypt tena kipindi Egypt ina nguvu kuliko nchi zote hapo Middle East walijaribu mara mbili kwa pamoja wakashindwa.
Yemen wanasema kudungua drone ya sita ndani ya miezi kadhaa au miaka. Israel iliwahi haribu ndege zaidi ya 200 za Egypt kwa usiku mmoja, zaidi ya nusu ya ndege za Egyptian Airforce.
Nina uhakika hizo drone anayeopperate ni mwisrael na sio usa ..Kodi za Wamarekani zinachezewa sana
Hata iwe hivyo ila ni ndege ya jeshi la MarekaniNina uhakika hizo drone anayeopperate ni mwisrael na sio usa ..
Air defense system sio mwanga kwamba unacover kila kona ya nchi nzima. Hata Urusi na batteries chungu nzima za AD bado Ukraine inarusha slow moving cardboard drones zinaenda deep 600km into Russian territories. AD zina sites zake na kuna loopholes na blindspots kibao.Mkuu hii ni ndege iliyo tumia gharama kubwa kutengenezwa hivyo haiwezi kuwa dhaifu kiasi hichi kama unavyo razimisha kutuaminisha.
Kama ndo hivyo hiyo drone itakuwa na tofauti gani na hivi vidrone vya kurekodia move za kibongo vyene thamani ya $800?
Kwenye Post ya kwanza umedai kuwa drone hiyo ina weza kuangushwa hata na mifumo ya miaka 1960 alafu wakati huo huo unatuambia imeundwa kwa ajili ya nchi zisizo na uhakika ID.
Basi tuseme hiyo drone imetengenezwa kama mwana sesele wa kuchezea tu maana kila nchi itakapo paa itatunguliwa kwa sababu kila nchi hapa duniani ina ID zinacho tofautiana ni ubora tu.