T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Kandege ka dola milioni 30 kwa US ni kitu gani. Na bado Marekani itawalisha hao ndugu zako hapo Yemen ambao Saudi Arabia ndugu zao katika imani wanawabonda 😂Pole kwa maumivu,
Naona hii habari imekuchoma kama pasi Yahudi wa Ifakara.
Ndio sapoti yao Iran.Hahahah kweli ila inaonekana wapo na sapoti ya Iran
Pongezi zimuendee Allah na mudi. Kwa hili kusema kweli wamejitahidi. Mnyonge mnyongeni na haki yake mpe.View attachment 3003191Houthi wanaotawala eneo kubwa la Yemen wametungua tena ndege jeshi ya USA aina ya MQ-9 ambayo thamani yake ni dola 30mln.
Taarifa rasmi ya msemaji wa jeshi na video ya hatua nzima ya kuipiga komborq ikiwa umbali wa zaidi ya 10km angani nimeambatanisha.
View attachment 3003190View attachment 3003223View attachment 3003224
Saudi Arabia wanawabonda WaYemen toka lini!??Kandege ka dola milioni 30 kwa US ni kitu gani. Na bado Marekani itawalisha hao ndugu zako hapo Yemen ambao Saudi Arabia ndugu zao katika imani wanawabonda 😂
Alafu bbcswahili wanaripoti eti "imeanguka jangwani" siyo imetunguliwa 😅😅😅View attachment 3003191Houthi wanaotawala eneo kubwa la Yemen wametungua tena ndege jeshi ya USA aina ya MQ-9 ambayo thamani yake ni dola 30mln.
Taarifa rasmi ya msemaji wa jeshi na video ya hatua nzima ya kuipiga komborq ikiwa umbali wa zaidi ya 10km angani nimeambatanisha.
View attachment 3003190View attachment 3003223View attachment 3003224
Una akili finyu sana aisee mpaka unatia huruma,Kandege ka dola milioni 30 kwa US ni kitu gani. Na bado Marekani itawalisha hao ndugu zako hapo Yemen ambao Saudi Arabia ndugu zao katika imani wanawabonda 😂
Achana nae huyo,anatembea na kichwa kitupu ili kukamilisha umbo la mwili tu.Saudi Arabia wanawabonda WaYemen toka lini!??
Yemeni na Saudi Arabia wameshapatana na wanasaidiana pia.
Drone bei rahisi ni shahed drone za $20k ila kwa $30 millions ni hela kubwa kwa drone.
Na nimesoma maelezo yake hiyo MQ-9 imefanyiwa upgrade 2021 na kuongezewa ufanisi.
Sasa nashindwa kuelewa huo ufanisi ulioongezwa mbona hauonekani!
Wahi kabla hujachelewa ukapate baraka.Hakuna watu wapumbavu kama hawa wa allah akubarii
BBC ni hopeless media!!Alafu bbcswahili wanaripoti eti "imeanguka jangwani" siyo imetunguliwa 😅😅😅
Wamagharibi bwana
Mabikra 72 wanatusubiri sisi waislamu swagi sheikh,tuwahi huko tukapige borrow mabikra , Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.Wahi kabla hujachelewa ukapate baraka.
Hio si inajulikana waarabu wamezungukana wenyewe kwa wenyewe tena Mmoroco ndo alikua anatoa siri nyingi,,,,,Muisrael advantage anayoipata ni sababu waarabu wanazungukana ila siku wakiamua kiuhakika wawe na nia 1 jamaa hapo ni mapema wanaamshaSyria, Yemen na Egypt tena kipindi Egypt ina nguvu kuliko nchi zote hapo Middle East walijaribu mara mbili kwa pamoja wakashindwa.
Yemen wanasema kudungua drone ya sita ndani ya miezi kadhaa au miaka. Israel iliwahi haribu ndege zaidi ya 200 za Egypt kwa usiku mmoja, zaidi ya nusu ya ndege za Egyptian Airforce.
Wewe bikra yako ilitolewa na Bodaboda au na muuza chips?Mabikra 72 wanatusubiri sisi waislamu swagi sheikh,tuwahi huko tukapige borrow mabikra , Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.
Pia kur'an imehalalisha kwa sisi waislamu kuwala wake zetu mbele na nyuma soma hapa
نِسَاؤُكُمْ حَرْثٌ لَّكُمْ فَأْتُوا حَرْثَكُمْ أَنَّىٰ شِئْتُمْ ۖ وَقَدِّمُوا لِأَنفُسِكُمْ ۚ وَاتَّقُوا اللَّهَ وَاعْلَمُوا أَنَّكُم مُّلَاقُوهُ ۗ وَبَشِّرِ الْمُؤْمِنِينَ﴾
[ البقرة: 223]
Wake zenu ni kama konde zenu. Basi ziendeeni konde zenu mpendavyo. Iwe mbele ama nyuma Lakini jitangulizieni kheri nafsi zenu.
Tuambie sasa ni kipi hasa cha upekee ilicho nacho mpaka iwe na gharama kubwa kiasi hicho?Air defense system sio mwanga kwamba unacover kila kona ya nchi nzima. Hata Urusi na batteries chungu nzima za AD bado Ukraine inarusha slow moving cardboard drones zinaenda deep 600km into Russian territories. AD zina sites zake na kuna loopholes na blindspots kibao.
Ndege kutumia gharama kubwa hakuifanyi iwe stealth. F-15EX sio stealth na ni bei kubwa kuliko F-35 ambayo ni stealth.
Again, MQ-9 Reaper sio stealth na ina radar cross section kubwa kuliko fighter jets za 1970, ni rahisi kudungua MQ-9 kuliko kudungua F-14 Tomcat ya early 1970s. Kajifunze kwanini iliundwa, not for a contested airspace.
Kumbuka maneno yako, be careful with your words. Natambua wewe ni mtoto wa miaka ya hivi karibuni maana hakuna taifa lililowahi kusifiwa kama ni kiboko wa USA kama Iraq.Houthi sio Hamas.
USA kuanzia 2014 mpaka 2021 alifadhili vita ya kuwaua hao Houthi,ila alichokipata hatoweza kusahau.
Hao wayemen wanagonga shaba wewe.
Middle East Taifa lenye nguvu za kijeshi na ambalo linaogopewa ni Iran pekee! Kwa kutambua nguvu zao ndio maana tangu late 70 walipigwa vikwazo baada ya Ayatollah kumpindua kibaraka Mfalme Shaha,bahati mbaya sana pamoja na vikwazo,Irani chini ya utawala wa Ayatollah imezidi kua na nguvu zake binafsi kwa kuzalisha kila kitu ndani yenyewe,hata silaha hatari inazomiliki ni matunda ya Teknolojia yake..Kumbuka maneno yako, be careful with your words. Natambua wewe ni mtoto wa miaka ya hivi karibuni maana hakuna taifa lililowahi kusifiwa kama ni kiboko wa USA kama Iraq.
Good ✔️View attachment 3003191Houthi wanaotawala eneo kubwa la Yemen wametungua tena ndege jeshi ya USA aina ya MQ-9 ambayo thamani yake ni dola 30mln.
Taarifa rasmi ya msemaji wa jeshi na video ya hatua nzima ya kuipiga komborq ikiwa umbali wa zaidi ya 10km angani nimeambatanisha.
View attachment 3003538
View attachment 3003190View attachment 3003223View attachment 3003224
Naona unajiteteaMQ-9 haijaundwa kutoonekana kwenye radar kama hujui uliza. Imeundwa kwa ajili ya nchi njaa zisizo na air defense ya uhakika. Popote penye comfirmed presence ya air defense MQ-9 haipelekwi uko.
Of all things, Reaper sio stealth drone. Inaonekana kwenye radar kuliko hata fighter jets za miaka ya 1970
BBC ni hopeless media!!
Kwamba "iwe mbele au nyuma"Mabikra 72 wanatusubiri sisi waislamu swagi sheikh,tuwahi huko tukapige borrow mabikra , Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.
Pia kur'an imehalalisha kwa sisi waislamu kuwala wake zetu mbele na nyuma soma hapa
نِسَاؤُكُمْ حَرْثٌ لَّكُمْ فَأْتُوا حَرْثَكُمْ أَنَّىٰ شِئْتُمْ ۖ وَقَدِّمُوا لِأَنفُسِكُمْ ۚ وَاتَّقُوا اللَّهَ وَاعْلَمُوا أَنَّكُم مُّلَاقُوهُ ۗ وَبَشِّرِ الْمُؤْمِنِينَ﴾
[ البقرة: 223]
Wake zenu ni kama konde zenu. Basi ziendeeni konde zenu mpendavyo. Iwe mbele ama nyuma Lakini jitangulizieni kheri nafsi zenu.