Yemi Alade kuifagilia Kenya, kunani?

Fanya tafiti kabla ya kuropoka....
 
Maswali mengine bana! Angetaja Tanzania ungehoji pia. Mi naona angetaja nchi zote za Africa.
 
It is obvious itajwe kenya, sauti soul wa kenya ndo wameandika ile verse ya kiswahili kwa maelezo ya yemi alade meenyewe
 
Maswali mengine bana! Angetaja Tanzania ungehoji pia. Mi naona angetaja nchi zote za Africa.

Watanganyika hao utawaweza wapi, Wao kila kitu wanalia wameonewa.
 
Mr. Nice kaimba fagilia Bongo mkasema nyimbo zake za kitoto. Hamuishiwi maneno nyinyi.
 
Kwa hili wengi tunakosea bila kufahamu. Lugha ya Taifa(National language) Kenya ni Kiswahili (Tangu Uhuru). Lugha rasmi (Official Languages) ni Kiswahili (Tangu 2010) na Kiingereza.

Na kuongezea, barua za ki kazi zote kenya zinaandikwa kwa kiswahili hasa employment application letters
 
Watanganyika hao utawaweza wapi, Wao kila kitu wanalia wameonewa.
Mimi ni mtanganyika na wala siwezi kufikiria kuhoji kitu kama hicho. sijawahi kusikia watanganyika wamelalamika kuonewa.
 
Mimi ni mtanganyika na wala siwezi kufikiria kuhoji kitu kama hicho. sijawahi kusikia watanganyika wamelalamika kuonewa.

Mimi huwa nawasikia Sana wanalalamika.
 
Hata mimi nilijiuliza.... sio kwa wivu.. ila maana aliongea kiswahili nikajua atapaisha na nchi yenye wazungumzaji wengi wa hiyo lugha... mwisho wa siku akatuachia nyoya
 
Nini hasa wamelalamika? Na wewe ni wa wapi?

Acha kunisumbua na maswali, hivi we huoni hata humu upo kwenye thread jamaa analalamika hawakutajwa kwenye nyimbo?
 
Acha kunisumbua na maswali, hivi we huoni hata humu upo kwenye thread jamaa analalamika hawakutajwa kwenye nyimbo?
Wewe ndio umeanza kuniquote sikukuita uniquote. Huyo jamaa kulakamika haimaanishi watanganyika wote ni walalamishi kama yeye. huna hata mfano unaoeleweka kutetea hoja yako. Acha kukariri!
 
Wewe ndio umeanza kuniquote sikukuita uniquote. Huyo jamaa kulakamika haimaanishi watanganyika wote ni walalamishi kama yeye. huna hata mfano unaoeleweka kutetea hoja yako. Acha kukariri!

Okay.
 
Sikia, it's just a fucking song na Yemi is only muhimu kwa wale wanaomfuatilia. We don't need Yemi atusifie kwani tayari Tanzania tuna sifa lukuki nzuri tu.
 
Tofautisha ukubwa wa kiswahili nchini kenya na ukubwa wa kiswahili Tanzania! Lugha ya Taifa kenya ni Kingereza na Lugha ya Taifa Tanzania ni kiswahili

Labda kama alimua kutaja kwa sababu hus B wake ni Mkenya

lugha ya kiswahili Kenya kiko juu sana, na ndicho kinachotoa maprofesa wa kiswahili duniani, tz kiswahili ni jina tu na wala hatukikuz, wala kukiendeleza, zaid zaid tunasifia kiingereza. waache waimbwe tena na tena. kiswahili Kenya kipo juu sana.
 
Kamwene Veyaaa.......Majengo Muyaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…