Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu umenichekesha sanaKwenda kusaula nje ya nchi ndo kuipaisha Tz, kama umekosa la kuchangia pita kushoto, mijitu michizi kweli khaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu umenichekesha sanaKwenda kusaula nje ya nchi ndo kuipaisha Tz, kama umekosa la kuchangia pita kushoto, mijitu michizi kweli khaa!
Unawahi wapi Mkuu?
Hivi huyu dada aliwaza nini kuitaja Kenya katika nyimbo yake ya Na Gode aliyo iimba kwa kiswahili kwa hiyo aliona akiitaja Tanzania Hii nyimbo haita hit sana au? Watu wengine wanaboa sana
Samahani nimesahau hata kusalimia habari zenu wana JF
Mim nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu wimbo wa Yemi alade Na Gode! Idea yake ilikuwa nzuri kwamba aimbe kwa kiswahili ndo maana version ya huo wimbo aliutoa kwa kiswahili kabla ya kuufanyia remix kwa kumshirikisha producer selebobo! Lengo lake la kuimba kwa kiswahili ni kutaka kuzidi kutusua Afrika mashariki hasa Tanzania
Kinacho niuma mimi ni kwanini aitaje Kenya katika huo wimbo akati watanzania ndo wamemfanya ajue kiswahili na ndio walio muinfluence kuimba kwa kiswahili,mwanzoni Yemi Alade bongo alikuwa hajulikani alipo kuja kutoa 'John' ndo kidogo wabongo wakamjua akapata na show yake ya kwanza afrika mashariki nahisi ilikuwa ni kuperform pale uwanja wataifa Alifanya show yake kuonesha aliko tokea hadi alipo hiyo show akaweka kajipande kashow katika video yake ya huo wimbo wa Na Gode akionesha yupo uwanja wa Taifa ana perform
Baadae ndo alikutana na kina Diamond akafanya nae wimbo coc studio diamond akaimba kwa kiswahili Yemi alade akafahamika Tz,baadae akawa anakutana na Akina Vanessa
Akashawishika kuimba kwa kiswahili wimbo ambao Tanzania ndo unapendwa sana kuliko Nchi yoyote Afrika! Alipo ona watanzania tunaupenda huo wimbo akaamua kuutoa kwa kingereza ili Nigeria nako uwe unapendwa
Sasa Kenya haijamsaidia chochote katika maendeleo ya mziki wake hata hicho kiswahili kukijua kenya haijamsaidia sasa kwanini aitaje Kenya aanaacha kuitaja Tanzania au hata Dar es salaam ambako alifanya show yake ya kwanza
Means huyu mkimama katudharau sana watanzania na katuona sisi wakuja sana.....Huyu aliwahi andika Tanzania ni second home leo anatuletea unafiki anaitaja kenya katika wimbo huo.......Bora hata English version ingekuwa ya kwanza kutoka na kaitaja kenya ningesema sawa kwasababu sisi wabongo kingereza hatujui! Sasa kaanza kwa kiswahili halafu anaitaja kenya ambayo haijampa mchango wowote hiyo ni Dharau kubwa kwetu Wabongo
Tangu nyimbo itoke nilikuwa namfikiria sana ila leo nimeamua kumwambia
Kama Yemi Alade upo hapa JF nakwambia tutakamatana ipo siku utaingia kwenye 18 zetu.....Endelea na wakenya wako
Maswali mengine bana! Angetaja Tanzania ungehoji pia. Mi naona angetaja nchi zote za Africa.
Kwa hili wengi tunakosea bila kufahamu. Lugha ya Taifa(National language) Kenya ni Kiswahili (Tangu Uhuru). Lugha rasmi (Official Languages) ni Kiswahili (Tangu 2010) na Kiingereza.
Mimi ni mtanganyika na wala siwezi kufikiria kuhoji kitu kama hicho. sijawahi kusikia watanganyika wamelalamika kuonewa.Watanganyika hao utawaweza wapi, Wao kila kitu wanalia wameonewa.
Mimi ni mtanganyika na wala siwezi kufikiria kuhoji kitu kama hicho. sijawahi kusikia watanganyika wamelalamika kuonewa.
Nini hasa wamelalamika? Na wewe ni wa wapi?Mimi huwa nawasikia Sana wanalalamika.
Nini hasa wamelalamika? Na wewe ni wa wapi?
Wewe ndio umeanza kuniquote sikukuita uniquote. Huyo jamaa kulakamika haimaanishi watanganyika wote ni walalamishi kama yeye. huna hata mfano unaoeleweka kutetea hoja yako. Acha kukariri!Acha kunisumbua na maswali, hivi we huoni hata humu upo kwenye thread jamaa analalamika hawakutajwa kwenye nyimbo?
Wewe ndio umeanza kuniquote sikukuita uniquote. Huyo jamaa kulakamika haimaanishi watanganyika wote ni walalamishi kama yeye. huna hata mfano unaoeleweka kutetea hoja yako. Acha kukariri!
Hivi huyu dada aliwaza nini kuitaja Kenya katika nyimbo yake ya Na Gode aliyo iimba kwa kiswahili kwa hiyo aliona akiitaja Tanzania Hii nyimbo haita hit sana au? Watu wengine wanaboa sana
Samahani nimesahau hata kusalimia habari zenu wana JF
Mim nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu wimbo wa Yemi alade Na Gode! Idea yake ilikuwa nzuri kwamba aimbe kwa kiswahili ndo maana version ya huo wimbo aliutoa kwa kiswahili kabla ya kuufanyia remix kwa kumshirikisha producer selebobo! Lengo lake la kuimba kwa kiswahili ni kutaka kuzidi kutusua Afrika mashariki hasa Tanzania
Kinacho niuma mimi ni kwanini aitaje Kenya katika huo wimbo akati watanzania ndo wamemfanya ajue kiswahili na ndio walio muinfluence kuimba kwa kiswahili,mwanzoni Yemi Alade bongo alikuwa hajulikani alipo kuja kutoa 'John' ndo kidogo wabongo wakamjua akapata na show yake ya kwanza afrika mashariki nahisi ilikuwa ni kuperform pale uwanja wataifa Alifanya show yake kuonesha aliko tokea hadi alipo hiyo show akaweka kajipande kashow katika video yake ya huo wimbo wa Na Gode akionesha yupo uwanja wa Taifa ana perform
Baadae ndo alikutana na kina Diamond akafanya nae wimbo coc studio diamond akaimba kwa kiswahili Yemi alade akafahamika Tz,baadae akawa anakutana na Akina Vanessa
Akashawishika kuimba kwa kiswahili wimbo ambao Tanzania ndo unapendwa sana kuliko Nchi yoyote Afrika! Alipo ona watanzania tunaupenda huo wimbo akaamua kuutoa kwa kingereza ili Nigeria nako uwe unapendwa
Sasa Kenya haijamsaidia chochote katika maendeleo ya mziki wake hata hicho kiswahili kukijua kenya haijamsaidia sasa kwanini aitaje Kenya aanaacha kuitaja Tanzania au hata Dar es salaam ambako alifanya show yake ya kwanza
Means huyu mkimama katudharau sana watanzania na katuona sisi wakuja sana.....Huyu aliwahi andika Tanzania ni second home leo anatuletea unafiki anaitaja kenya katika wimbo huo.......Bora hata English version ingekuwa ya kwanza kutoka na kaitaja kenya ningesema sawa kwasababu sisi wabongo kingereza hatujui! Sasa kaanza kwa kiswahili halafu anaitaja kenya ambayo haijampa mchango wowote hiyo ni Dharau kubwa kwetu Wabongo
Tangu nyimbo itoke nilikuwa namfikiria sana ila leo nimeamua kumwambia
Kama Yemi Alade upo hapa JF nakwambia tutakamatana ipo siku utaingia kwenye 18 zetu.....Endelea na wakenya wako
Tumia japo kaneno busara zako ni muhimu sana Mkuu.nawahi kumuambia Yemi alade afute jina la Kenya aweke Tanzania
Tofautisha ukubwa wa kiswahili nchini kenya na ukubwa wa kiswahili Tanzania! Lugha ya Taifa kenya ni Kingereza na Lugha ya Taifa Tanzania ni kiswahili
Labda kama alimua kutaja kwa sababu hus B wake ni Mkenya
Kamwene Veyaaa.......Majengo Muyaaalugha ya kiswahili Kenya kiko juu sana, na ndicho kinachotoa maprofesa wa kiswahili duniani, tz kiswahili ni jina tu na wala hatukikuz, wala kukiendeleza, zaid zaid tunasifia kiingereza. waache waimbwe tena na tena. kiswahili Kenya kipo juu sana.
Kamwene Veyaaa.......Majengo Muyaaa