Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Haka umarekani umekazidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kale kanaitwa chidnma (sijui nimekosea spellings) ni kazuri aiseee....
CHIDNMA ni habari nyingine ana sura flan hivi dah!Kuna kale kanaitwa chidnma (sijui nimekosea spellings) ni kazuri aiseee....
CHIDNMA ni habari nyingine ana sura flan hivi dah!
mrembo sana
kana sura flani hivi kama katotoCHIDNMA ni habari nyingine ana sura flan hivi dah!
mrembo sana
ha haaa haaa mkuu umeacha lini kumsifia v money a.k.a cash madameHuyu ndiyo Madame wa ukwee
enh bana yani kasura flan hiv kako very unique!kana sura flani hivi kama katoto
hhhahahaha am humbled!Ila hakufikii wewe
aisee huyu dada mzuri jamaniona hii!
Aiseee huyu mtoto ana ka baby face flani hivi... so wowona hii!
Anatafuta mchumbaNa hiyo ring kwenye kidole kidogo ina maana gani?
All of it...
Aisee Johnny hafai kabisa Mungu anamwona. Nahisi ndio yule kijana wa Adam Mchovu alilishwa ile ma kitu. Yami Alade alipotea njia hapoBora kumwacha tu Mkuu, huyu bidada alifanywa kitu mbaya sana na JOHNNY
Tutapigana mkuu hapo.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dada namuelewa huyo......nashukuru kwa kunisemea mkuu manake nilikua kama samaki [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]Huwa nampenda sana huyu dada yaan sna hela tuu!!