Yemi Alade looks beautiful in anything and everything

Yemi Alade looks beautiful in anything and everything

Haka umarekani umekazidi

1484165612390.png
1484165631230.png
 
Bora kumwacha tu Mkuu, huyu bidada alifanywa kitu mbaya sana na JOHNNY
Aisee Johnny hafai kabisa Mungu anamwona. Nahisi ndio yule kijana wa Adam Mchovu alilishwa ile ma kitu. Yami Alade alipotea njia hapo
 
Huwa nampenda sana huyu dada yaan sna hela tuu!!
Tutapigana mkuu hapo.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dada namuelewa huyo......nashukuru kwa kunisemea mkuu manake nilikua kama samaki [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
 
Back
Top Bottom