Yericko aelewe Adui wa CHADEMA ni adui wa MBOWE. CHADEMA ni moja ya Legacy ya Mbowe na sidhani mbowe ni Mjinga kiasi atake ife


Nyerere hakutukanwa kwa sababu alijua muda wa kushuka jukwaani.

Waliomshauri ndio walimkosea heshima. Tunajua binadamu kuna wakati anakuwa hayupo sawa. Alishauriwa vibaya. Na sasa naamini anagundua Hilo pia kwamba ninyi mliomshauri ndio mliamua kumvua nguo.
 
Sikubaliani na wewe lakini naheshimu uhuru wako wa kufikiria unavyotaka.

Amandla...
 
Kitendo cha wale wapambe eti kumfuata nyumbani kwake kumshawishi agombee hii michezo wanafanya CCM miaka yote sio tamaduni ya CHADEMA.

Na kitendo cha TBCCM kurusha ile press vilinipa majibu tosha kutilia shaka nia ya hao watu design ya jasusi wa bamia.

Yaani TBCCM huo upendo wa kurusha presss za CHADEMA uliibukaje ghafla miaka yote press za CHADEMA hawajawahi kurusha iweje ile warushe?


View: https://www.youtube.com/live/OeDzKSUp-z0?si=KupkunVtamjznozT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…