Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
- #21
Swali lako ni la kijingaIli uone anazo Akili timamu ulitaka asemeje?
Swali lako ni la kijingaIli uone anazo Akili timamu ulitaka asemeje?
La kijinga au limekushinda kujibu?Swali lako ni la kijinga
Huna akiliLa kijinga au limekushinda kujibu?
We unazo?Huna akili
Ndio Maana nimeanzisha uzi sasa anzisha wewe uone Kama utapata watuWe unazo?
Uzi, Ushuzi?Ndio Maana nimeanzisha uzi sasa anzisha wewe uone Kama utapata watu
Kumbe umeazisha huu Ushuzi ili upate watu?Ndio Maana nimeanzisha uzi sasa anzisha wewe uone Kama utapata watu
Rasmi unaingia ignore list Kama wapumbavu wenzio, kwaheriUzi, Ushuzi?
Aanzishe chama chake cha siasa ili tuuone ukubwa wake.Akihojiwa na vyombo vya habari mitandaoni, Mamluki huyo ametamba kwamba yeye ni Taasisi na ni Mkubwa kuliko Chadema.
Ikumbukwe kwamba Yericko hana Cheo chochote CHAUMA Bali ni mbeba begi wa Salum Mwalimu
Kwa kauli yake hiyo mnadhani ana akili timamu au ni kichaa kamili?
Unagawa pumzi wewe!!?Rasmi unaingia ignore list Kama wapumbavu wenzio, kwaheri