Ujinga wa Lumumba huu.Kana laana ya Magufuli hako hata kashinde nini hakawezi kutoboa
Huwa wanatumia vigezo gani?Usiku wa Agosti 03.2024 katika mji wa Sandton, jijini Johannesberg Afrika Kusini, Mtanzania Yericko Nyerere ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya uandishi bora wa vitabu Barani Afrika, tuzo inayotolewa na 'Shining Stars Africa Awards'
Yericko ambaye pia ni Mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA Taifa alikuwa akiwania tuzo hiyo sambamba na waandishi nguli kutoka mataifa mbali kama Laone Kabelo kutoka Botswana, Lolato Moalosi kutoka Botswana, Bankhe Shabangu kutoka Swazland na Grettelle Gazah kutoka Zimbabwe
Hatua ya Yericko Nyerere kutwaa tuzo hiyo, kunamfanya kuwa Mtanzania wa kwanza kushinda tuzo mbili (2) za uandishi bora mfululizo ambapo mwaka jana (2023) alishinda tuzo ya uandishi bora wa vitabu iliyotolewa na 'Zikomo Africa Award' jijini Lusaka nchini Zambia.
View attachment 3061207
View attachment 3061208
Hongera sana CHADEMA, ngoja waje waanze kukasirikaUsiku wa Agosti 03.2024 katika mji wa Sandton, jijini Johannesberg Afrika Kusini, Mtanzania Yericko Nyerere ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya uandishi bora wa vitabu Barani Afrika, tuzo inayotolewa na 'Shining Stars Africa Awards'
Yericko ambaye pia ni Mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA Taifa alikuwa akiwania tuzo hiyo sambamba na waandishi nguli kutoka mataifa mbali kama Laone Kabelo kutoka Botswana, Lolato Moalosi kutoka Botswana, Bankhe Shabangu kutoka Swazland na Grettelle Gazah kutoka Zimbabwe
Hatua ya Yericko Nyerere kutwaa tuzo hiyo, kunamfanya kuwa Mtanzania wa kwanza kushinda tuzo mbili (2) za uandishi bora mfululizo ambapo mwaka jana (2023) alishinda tuzo ya uandishi bora wa vitabu iliyotolewa na 'Zikomo Africa Award' jijini Lusaka nchini Zambia.
View attachment 3061207
View attachment 3061208
Aisee dogo unalaana sana hivi iweje mfu atoe laana?Kana laana ya Magufuli hako hata kashinde nini hakawezi kutoboa
Kwani tunapomsifia aziz k ana uwezo wa kuchuana na messi? Au tunapomsifia mo kuwa ni tajiri ana ubavu wa akina Bill gate? Au unapojisifia umesoma udsm hiyo udsm ina level za oxford au Harvard? Punguza chuki mpumbavu weweKwamba ana ubavu wa kuchuanw na akina Ngugi?
Kumtumia kwenye nini?Hivi kwanini chadema haimtumii yeriko?
Mkuu Yericko Nyerere mimi ni role model wangu namfwatilia sana kwa kila jambo toka enzi za kulima bamia mbutu je chadema ana nafasi gani? Kwanini hatumpi jimbo agombee ubunge? Pia Yericko Nyerere ni kati ya wahanga wa mwanzo kabisa wa utekaji wa kipindi cha magufi.Yericko Nyerere hongera sana.
Namkumbusha johnthebaptist kuwa Yericko ni CHADEMA damu damu na ni kiongozi wa chama
Hivi huko ccm kuna mtu mwenye kuweza kuandika hata jarida likakubalika Duniani kama huyu mwana CHADEMA?
Eric Shigongo ππYericko Nyerere hongera sana.
Namkumbusha johnthebaptist kuwa Yericko ni CHADEMA damu damu na ni kiongozi wa chama
Hivi huko ccm kuna mtu mwenye kuweza kuandika hata jarida likakubalika Duniani kama huyu mwana CHADEMA?
Huwezi kuwa Chadema halafu ukawa BoyaUsiku wa Agosti 03.2024 katika mji wa Sandton, jijini Johannesberg Afrika Kusini, Mtanzania Yericko Nyerere ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya uandishi bora wa vitabu Barani Afrika, tuzo inayotolewa na 'Shining Stars Africa Awards'
Yericko ambaye pia ni Mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA Taifa alikuwa akiwania tuzo hiyo sambamba na waandishi nguli kutoka mataifa mbali kama Laone Kabelo kutoka Botswana, Lolato Moalosi kutoka Botswana, Bankhe Shabangu kutoka Swazland na Grettelle Gazah kutoka Zimbabwe
Hatua ya Yericko Nyerere kutwaa tuzo hiyo, kunamfanya kuwa Mtanzania wa kwanza kushinda tuzo mbili (2) za uandishi bora mfululizo ambapo mwaka jana (2023) alishinda tuzo ya uandishi bora wa vitabu iliyotolewa na 'Zikomo Africa Award' jijini Lusaka nchini Zambia.
View attachment 3061207
View attachment 3061208
Shigongo ni Author au translator tu?Eric Shigongo ππ
Hata Yeriko anatafsiri tu novel za warusi ππShigongo ni Author au translator tu?