Yericko Nyerere ashinda tuzo ya mwandishi bora wa vitabu Afrika 2024

Hiyo taasisi inayotoa hiyo tuzo inatambulika??
 
siku wa Agosti 03.2024 katika mji wa Sandton, jijini Johannesberg Afrika Kusini, Mtanzania Yericko Nyerere ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya uandishi bora wa vitabu Barani Afrika, tuzo inayotolewa na 'Shining Stars Africa Awards'

Yericko ambaye pia ni Mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA Taifa alikuwa akiwania tuzo hiyo sambamba na waandishi nguli kutoka mataifa mbali kama Laone Kabelo kutoka Botswana, Lolato Moalosi kutoka Botswana, Bankhe Shabangu kutoka Swazland na Grettelle Gazah kutoka Zimbabwe

Hatua ya Yericko Nyerere kutwaa tuzo hiyo, kunamfanya kuwa Mtanzania wa kwanza kushinda tuzo mbili (2) za uandishi bora mfululizo ambapo mwaka jana (2023) alishinda tuzo ya uandishi bora wa vitabu iliyotolewa na 'Zikomo Africa Award' jijini Lusaka nchini Zambia.

View attachment 3061207
View attachment 3061208
hongera Kijana, ni mfano nzuri kwa jamii. Mama anatosha haya ni mafanikio ya mama. Nakupa kitabu hichi hebu kisome utapata faida kubwa katika uandishi wako
1722771063552.jpeg
 
Kana laana ya Magufuli hako hata kashinde nini hakawezi kutoboa
Ushindi huo tu pekee tayari ndo kutoboa kwenyewe huko..

Wewe Etwege mzee mwenye kusumbuliwa na ugonjwa wa tundulissuphobia na migaphobia na kukaa kuzurura kwenye korido za CCMLumumbaKB7 na JF ndiye kamwe huwezi kutoboa!!!

Mwenzio keshatoboa hivyo, yuko bondeni - SA under very special invitation.

Wewe mzee wa kijani na mlamba viatu vya kina Samia Suluhu Hassan na Ridhiwani Kikwete hata kuvuka mpaka tu uende Burundi hujawahi na huwezi..!!
 
Sahivi utakuta yupo bar, CCM akili zao zinaishia kwenye nyama na pombe
 
Usiku wa Agosti 03.2024 katika mji wa Sandton, jijini Johannesberg Afrika Kusini, Mtanzania Yericko Nyerere ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya uandishi bora wa vitabu Barani Afrika, tuzo inayotolewa na 'Shining Stars Africa Awards'

Yericko ambaye pia ni Mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA Taifa alikuwa akiwania tuzo hiyo sambamba na waandishi nguli kutoka mataifa mbali kama Laone Kabelo kutoka Botswana, Lolato Moalosi kutoka Botswana, Bankhe Shabangu kutoka Swazland na Grettelle Gazah kutoka Zimbabwe

Hatua ya Yericko Nyerere kutwaa tuzo hiyo, kunamfanya kuwa Mtanzania wa kwanza kushinda tuzo mbili (2) za uandishi bora mfululizo ambapo mwaka jana (2023) alishinda tuzo ya uandishi bora wa vitabu iliyotolewa na 'Zikomo Africa Award' jijini Lusaka nchini Zambia.

View attachment 3061207
View attachment 3061208
Hongera kwake mkuu Yericko Nyerere kwa ushindi huu mkubwa. Lakini mkuu ingefaa uandike kwa urefu kidogo ukionyesha majina ya vitabu alivyoandika kwa mwaka huu ingependeza zaidi.
 
Mkuu Yericko Nyerere mimi ni role model wangu namfwatilia sana kwa kila jambo toka enzi za kulima bamia mbutu je chadema ana nafasi gani? Kwanini hatumpi jimbo agombee ubunge? Pia Yericko Nyerere ni kati ya wahanga wa mwanzo kabisa wa utekaji wa kipindi cha magufi.
Mjumbe wa Kamati kuu kupitia jimbo la Kigamboni. 2025 atagombea Kigamboni
 
HHo
Usiku wa Agosti 03.2024 katika mji wa Sandton, jijini Johannesberg Afrika Kusini, Mtanzania Yericko Nyerere ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya uandishi bora wa vitabu Barani Afrika, tuzo inayotolewa na 'Shining Stars Africa Awards'

Yericko ambaye pia ni Mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA Taifa alikuwa akiwania tuzo hiyo sambamba na waandishi nguli kutoka mataifa mbali kama Laone Kabelo kutoka Botswana, Lolato Moalosi kutoka Botswana, Bankhe Shabangu kutoka Swazland na Grettelle Gazah kutoka Zimbabwe

Hatua ya Yericko Nyerere kutwaa tuzo hiyo, kunamfanya kuwa Mtanzania wa kwanza kushinda tuzo mbili (2) za uandishi bora mfululizo ambapo mwaka jana (2023) alishinda tuzo ya uandishi bora wa vitabu iliyotolewa na 'Zikomo Africa Award' jijini Lusaka nchini Zambia.

View attachment 3061207
View attachment 3061208
Hongera sana umetuwakilisha vema.You have inspired me!!
 
Kwani tunapomsifia aziz k ana uwezo wa kuchuana na messi? Au tunapomsifia mo kuwa ni tajiri ana ubavu wa akina Bill gate? Au unapojisifia umesoma udsm hiyo udsm ina level za oxford au Harvard? Punguza chuki mpumbavu wewe
Ewaaaaaa jibu tamu Sana hili kama Mke wa mjumbe wa CCM
 
Back
Top Bottom