Yericko Nyerere ashinda tuzo ya mwandishi bora wa vitabu Afrika 2024

Usiku wa Agosti 03.2024 katika mji wa Sandton, jijini Johannesberg Afrika Kusini, Mtanzania Yericko Nyerere ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya uandishi bora wa vitabu Barani Afrika, tuzo inayotolewa na 'Shining Stars Africa Awards'

Yericko ambaye pia ni Mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA Taifa alikuwa akiwania tuzo hiyo sambamba na waandishi nguli kutoka mataifa mbali kama Laone Kabelo kutoka Botswana, Lolato Moalosi kutoka Botswana, Bankhe Shabangu kutoka Swazland na Grettelle Gazah kutoka Zimbabwe

Hatua ya Yericko Nyerere kutwaa tuzo hiyo, kunamfanya kuwa Mtanzania wa kwanza kushinda tuzo mbili (2) za uandishi bora mfululizo ambapo mwaka jana (2023) alishinda tuzo ya uandishi bora wa vitabu iliyotolewa na 'Zikomo Africa Award' jijini Lusaka nchini Zambia.

View attachment 3061207
View attachment 3061208
Hivi huyu si ndiye alisifiwa sana na Prof. Tibaijuka
 
Nime-google hiyo taasisi ya Shining Stars Africa Awards ili WIKIPEDIA wanipe uelewa ni taasisi ya aina gani sikupata.
Pia hilo neno 'SHINNING' kwenye award nadhani lilitakiwa kuwa 'SHINING'
 
Rudi google SHINNING STAR usilete ujuaji wa Nkuba
 
Usiku wa Agosti 03.2024 katika mji wa Sandton, jijini Johannesberg Afrika Kusini, Mtanzania Yericko Nyerere ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya uandishi bora wa vitabu Barani Afrika, tuzo inayotolewa na 'Shining Stars Africa Awards'

Yericko ambaye pia ni Mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA Taifa alikuwa akiwania tuzo hiyo sambamba na waandishi nguli kutoka mataifa mbali kama Laone Kabelo kutoka Botswana, Lolato Moalosi kutoka Botswana, Bankhe Shabangu kutoka Swazland na Grettelle Gazah kutoka Zimbabwe

Hatua ya Yericko Nyerere kutwaa tuzo hiyo, kunamfanya kuwa Mtanzania wa kwanza kushinda tuzo mbili (2) za uandishi bora mfululizo ambapo mwaka jana (2023) alishinda tuzo ya uandishi bora wa vitabu iliyotolewa na 'Zikomo Africa Award' jijini Lusaka nchini Zambia.

View attachment 3061207
View attachment 3061208
Mhhhh, mi nasoma Sana, vitabu, nilianza nikiwa, darasa la nne, vitabu vya, hadithi, kama vya Elvis Musiba, (series za, Will Gamba), Joram kiango,nk,
Eddie Ganzel msako wa hayawani, na vingine vingi, hawa waandishi waliandika vitabu vyenye story nzuri na za kusisimua, kipindi hicho, 80s, 90s, kabla ya mobile phone, YouTube nk, sasa huyu jamaa story anazoandika, unaweza kuzipata hata kwenye YouTube, nk, anapataje tuzo?
I smell rat
 
Back
Top Bottom