Yericko Nyerere ashinda tuzo ya mwandishi bora wa vitabu Afrika 2024

Hiyo taasisi inayotoa hiyo tuzo inatambulika??
 
hongera Kijana, ni mfano nzuri kwa jamii. Mama anatosha haya ni mafanikio ya mama. Nakupa kitabu hichi hebu kisome utapata faida kubwa katika uandishi wako
 
Kana laana ya Magufuli hako hata kashinde nini hakawezi kutoboa
Ushindi huo tu pekee tayari ndo kutoboa kwenyewe huko..

Wewe Etwege mzee mwenye kusumbuliwa na ugonjwa wa tundulissuphobia na migaphobia na kukaa kuzurura kwenye korido za CCMLumumbaKB7 na JF ndiye kamwe huwezi kutoboa!!!

Mwenzio keshatoboa hivyo, yuko bondeni - SA under very special invitation.

Wewe mzee wa kijani na mlamba viatu vya kina Samia Suluhu Hassan na Ridhiwani Kikwete hata kuvuka mpaka tu uende Burundi hujawahi na huwezi..!!
 
Sahivi utakuta yupo bar, CCM akili zao zinaishia kwenye nyama na pombe
 
Hongera kwake mkuu Yericko Nyerere kwa ushindi huu mkubwa. Lakini mkuu ingefaa uandike kwa urefu kidogo ukionyesha majina ya vitabu alivyoandika kwa mwaka huu ingependeza zaidi.
 
Kwani tunapomsifia aziz k ana uwezo wa kuchuana na messi? Au tunapomsifia mo kuwa ni tajiri ana ubavu wa akina Bill gate? Au unapojisifia umesoma udsm hiyo udsm ina level za oxford au Harvard? Punguza chuki mpumbavu wewe
Nyan.oko
 
Mjumbe wa Kamati kuu kupitia jimbo la Kigamboni. 2025 atagombea Kigamboni
 
HHo
Hongera sana umetuwakilisha vema.You have inspired me!!
 
Kwani tunapomsifia aziz k ana uwezo wa kuchuana na messi? Au tunapomsifia mo kuwa ni tajiri ana ubavu wa akina Bill gate? Au unapojisifia umesoma udsm hiyo udsm ina level za oxford au Harvard? Punguza chuki mpumbavu wewe
Ewaaaaaa jibu tamu Sana hili kama Mke wa mjumbe wa CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…