Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hongera sana,Mungu akulinde na Watanzania wote.Wakati Serikali ya Tanzania inapoteza pesa kusaidia mchezo wa soka ambao haujawahi kuleta Manufaa yoyote, Bwana Yerricko Nyerere anajipigania binafsi na kuiletea Heshima Nchi yake kila Mwaka.
Ametwaa tena Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Barani Afrika, Tuzo ambayo akina Nyambari Nyangwine na Wenzake hawajawahi kuipata.
View attachment 3096230
Mpira na uandishi wa Habari wapi na wapi?Wakati Serikali ya Tanzania inapoteza pesa kusaidia mchezo wa soka ambao haujawahi kuleta Manufaa yoyote, Bwana Yerricko Nyerere anajipigania binafsi na kuiletea Heshima Nchi yake kila Mwaka.
Ametwaa tena Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Barani Afrika, Tuzo ambayo akina Nyambari Nyangwine na Wenzake hawajawahi kuipata.
Plagiarist mkubwa wa makala za Joseph Mihangwa, mwandishi wa zamani wa gazeti la Rai. Yeriko siyo muandishi wala hana kipaji cha uandishiWakati Serikali ya Tanzania inapoteza pesa kusaidia mchezo wa soka ambao haujawahi kuleta Manufaa yoyote, Bwana Yerricko Nyerere anajipigania binafsi na kuiletea Heshima Nchi yake kila Mwaka.
Ametwaa tena Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Barani Afrika, Tuzo ambayo akina Nyambari Nyangwine na Wenzake hawajawahi kuipata.
Shigongo types kwa kukopi kazi za watu na hadithi zisizoleta uhalisia kifikra.Vipi CCM mbona pande hizo hamuonekani au ndio levo za Sani na Nipashe ?
Nimetoka kusema hapo juu huyu ni Lufufu mkandala wa vitabu huyo😂😂😂Plagiarist mkubwa wa makala za Joseph Mihangwa, mwandishi wa zamani wa la Rai. Yeriko siyo muandishi wala hama kipaji cha uandishi
Mzee wa mizimu.Huyu ni lufufu mkandala wa vitabu, ni mwendo wa kutafsiri tu alafu anapewa tuzo😂
Hakuna mwandishi hapo
Kwa hiyo tuzo apewe Mihangwa?Plagiarist mkubwa wa makala za Joseph Mihangwa, mwandishi wa zamani wa la Rai. Yeriko siyo muandishi wala hama kipaji cha uandishi
Ikiwezekana. Halafu hizi tuzo ni miradi ya watu. Hazina maana. Ni kama kushinda kombe la mbuziKwa hiyo tuzo apewe Mihangwa?
Muongo kinoma huyo😂Mzee wa mizimu.