Yericko Nyerere atwaa Tuzo ya Mwandishi Bora ya Vitabu Barani Afrika 2024

Yericko Nyerere atwaa Tuzo ya Mwandishi Bora ya Vitabu Barani Afrika 2024

Wakati Serikali ya Tanzania inapoteza pesa kusaidia mchezo wa soka ambao haujawahi kuleta Manufaa yoyote, Bwana Yerricko Nyerere anajipigania binafsi na kuiletea Heshima Nchi yake kila Mwaka.

Ametwaa tena Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Barani Afrika, Tuzo ambayo akina Nyambari Nyangwine na Wenzake hawajawahi kuipata.
Naungana nawe kumpongeza kwa dhati bingwa wa plagiarism ndugu Yericko Nyerere kwa kutwaa hii tuzo. Wewe mfuasi wa Mbowe ungeweza kumpongeza Yeriko bila kuponda serikali inavyosapoti mchezo wa soka. Bila mkono wa serikali ligi ya Tanzania isingekuwa ligi bora Afrika mashariki, kusini na kati ikiwa imepitwa na ligi kuu ya Afrika kusini.
 
Wakati Serikali ya Tanzania inapoteza pesa kusaidia mchezo wa soka ambao haujawahi kuleta Manufaa yoyote, Bwana Yerricko Nyerere anajipigania binafsi na kuiletea Heshima Nchi yake kila Mwaka.

Ametwaa tena Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Barani Afrika, Tuzo ambayo akina Nyambari Nyangwine na Wenzake hawajawahi kuipata.
Ulipochanganya soka na tuzo za vitabu vya yeriko nyerere hapo ndio nimegundua hauna akili. Hujui ni vijana wangapi wanalisha familia zao kwa kucheza mpira na kulipwa. Au ulitaka vijana wote hao wa kitz waingie chadema!!???

You sound stupid sio kila mtu anapenda siasa
 
Back
Top Bottom