Yericko Nyerere atwaa Tuzo ya Mwandishi Bora ya Vitabu Barani Afrika 2024

Naungana nawe kumpongeza kwa dhati bingwa wa plagiarism ndugu Yericko Nyerere kwa kutwaa hii tuzo. Wewe mfuasi wa Mbowe ungeweza kumpongeza Yeriko bila kuponda serikali inavyosapoti mchezo wa soka. Bila mkono wa serikali ligi ya Tanzania isingekuwa ligi bora Afrika mashariki, kusini na kati ikiwa imepitwa na ligi kuu ya Afrika kusini.
 
Ulipochanganya soka na tuzo za vitabu vya yeriko nyerere hapo ndio nimegundua hauna akili. Hujui ni vijana wangapi wanalisha familia zao kwa kucheza mpira na kulipwa. Au ulitaka vijana wote hao wa kitz waingie chadema!!???

You sound stupid sio kila mtu anapenda siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…