Yericko Nyerere atwaa Tuzo ya Mwandishi Bora ya Vitabu Barani Afrika 2024

Ubora wa kwenye makaratasi tu
 
Kwa hiyo tuzo apewe Mihangwa?
Hizi tuzo una subscribe kwanza na kulipa kiasi cha fedha kama kiingilio. As long as umelipa kiingilio huwezi kukosa tuzo hata moja. Wakikunyima it means mwaka kesho huji na wanapoteza mapato.

Sawa na washindi wa maonyesho ya Nanenane au TANTRADE, hakuna anayekosa cheti kwenye category mbalimbali.

Joseph Mihangwa hahitaji upuuzi huo
 
Ingekua kweli ulichokiandika,hakuna maana ya kuita ni tuzo.Zingeitwa ni vitu vya kutambua ushiriki wa muhusika aliyepewa.
 
Mama hajakuza ligi ya Tanzania. Alichofanya mama ni kudandia treni kwa mbele.
 
Unakinyongo ww
 
Hiyo taasisi toa tuzo inaitwaje inatambulika kimataifa ?
 
Ingekua kweli ulichokiandika,hakuna maana ya kuita ni tuzo.Zingeitwa ni vitu vya kutambua ushiriki wa muhusika aliyepewa.
Huo ndiyo ukweli mchungu. Nenda kwenye website kaisome hiyo taasisi inayotoa tuzo, utanielewa
 
Hiyo taasisi iliyo mpa hiyo tuzo ni ya wapi,isije ikawa ni hizi taasisi za uchochorini?
Sijawahi kuona cha maana anachoandika huyu jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…