Ujasusi watuachie sisi 🕵🏿🕵🏿Jamaa nishamuonaga boya kitambo sana
Jasusi my foot
Ova
Ile ni copy na kupaste tu.Usifute kichwa cha habari JF:Yericko Nyerere Hufanani na vitabu unavyo sema ni ujasusi na uchochoro wa madaraka yani wewe ni Mr pimbi wa gazeti la sani.
Ukisoma vitabu vyake unaweza kujua huyu jamaa ni jasusi hatari ila ukirudi nyuma ni mr pimbi wa gazeti la sani.
Mimi naogopa sana watu wanahoandika vitabu sababu wanakuwa na uwezo mkubwa hata kwenye maongezi yao.
Sasa wewe yani hata Hoja huna na si mara moja kabla ujatoka chadema uwezi lolote.
View attachment 3438508
Du kweli ulitumia muda wako kusoma vitabu vya huyu kichaa! Halafu hata hizi thread mnamwanzishia zinamfanya ajione ni wa muhimu. Hyu na yule jamaa anayeitwa Deo Ksandu ni kama pacha.Ni kweli kabisa na jamaa vitabu vyake ni vya kugoogle ingekuwa chatGpt leo tungekoma
Lakini angeisifia chadema..Usifute kichwa cha habari JF:Yericko Nyerere Hufanani na vitabu unavyo sema ni ujasusi na uchochoro wa madaraka yani wewe ni Mr pimbi wa gazeti la sani.
Ukisoma vitabu vyake unaweza kujua huyu jamaa ni jasusi hatari ila ukirudi nyuma ni mr pimbi wa gazeti la sani.
Mimi naogopa sana watu wanahoandika vitabu sababu wanakuwa na uwezo mkubwa hata kwenye maongezi yao.
Sasa wewe yani hata Hoja huna na si mara moja kabla ujatoka chadema uwezi lolote.
View attachment 3438508
Sijawahi kuvisoma ila kupitia kuna gundi gundi nyingi yani anakupeleka ulaya anakuja kenya na kisa hiki yani unajiuliza huyu mtunzi au mpiga picha kama blog ya michuziDu kweli ulitumia muda wako kusoma vitabu vya huyu kichaa! Halafu hata hizi thread mnamwanzishia zinamfanya ajione ni wa muhimu. Hyu na yule jamaa anayeitwa Deo Ksandu ni kama pacha.
Uwezi kuwa na kitabu ukajibu hoja hata baba yako mzazi unaweza kumshangaa.Lakini angeisifia chadema..
Hapo angeonekana bonge la mwandishi eti?
HAO NDO CHADOMO NINAOWAJUA MIMI!