Yericko Nyerere Mtanzania pekee anayewania tuzo ya Mwandishi bora wa Vitabu Afrika 2023

Yericko Nyerere Mtanzania pekee anayewania tuzo ya Mwandishi bora wa Vitabu Afrika 2023

SANGAPIPI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
206
Reaction score
301
Taasisi ya Tuzo za Zikomo Africa Award ya yenye maskani yake nchini Zambia imemtangaza kijana mtanzania ni mwanajukwaa mkongwe (mwasisi wa jf) Yericko Nyerere kuwania tuzo ya mwandishi bora wa vitabu Afrika.

Yericko ni Mtanzania pekee aliyefanikiwa kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho cha mwandishi bora Afrika, Wanajf tujivunie tumemlea na kumjenga wenyewe na baadhi ya material ya kitabu chake ameyapata kupitia jf, Hvyo tumpigie kura kwa wingi kuhakikisha anashinda tuzo hii kwa heshima ya jf na nchi yetu.

Katika ukurasa wake wa Fb amepost akisema;

#Repost From Yericko Nyerere :
Hatimaye nimechaguliwa kuwania tuzo ya mwandishi bora Afrika chini ya Zikomo Africa Awards nchini Zambia. Nakuwa Mtanzania pekee ninayewania tuzo ya Mwandishi Bora Afrika.

Ushirikiano mlionionyesha kuhakikisha naingia kwenye kinyang'anyiro hiki, ni mwanzo wa kuelekea kwenye ushindi.

Wadau na mashabiki wa vitabu, Kazi ndio imeanza! Tujiandae kuanza kupiga kura za ushindi wa kishindo".
-----------------

Kura zitaanza kupigwa jioni ya leo

IMG_-vupdjg.jpg
IMG_20231019_210735_191.jpg
IMG_20231020_142729_509.jpg
 
SAsa ukimpigia kura ataitukuza mizimu, aialike MIZIMU impigie kura
 
Hongera kwa Mtanzania mwenzetu, sasa atapataje ushindi?

Anapigiwa kura au? Anapigiwa kura na nani?
 
Hii copy and paste how it could be, hakuna tungo za kipekee ambazo utasema ni mpya, all is copy and paste from others varieties books.
 
Hata kwa hizi tuzo za kikanjanja, Yericko hafai kuitwa mwandishi wa vitabu.
 
Back
Top Bottom