Hii ndio muhimu kwa hawa wanazuoniSiku moja mpewe kipindi Star Tv umuelekeze kijana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndio muhimu kwa hawa wanazuoniSiku moja mpewe kipindi Star Tv umuelekeze kijana
Mzee atakubali sasa?Hii ndio muhimu kwa hawa wanazuoni
🤣🤣🤣sijuiMzee atakubali sasa?
Msanii niletee WhatsApp yako PM nitakuunga In Shaa Allah.Mzee
Bahati mbaya link haifunguki
Daudi,Mzee atakubali sasa?
Naomba link Mkuu. Hii imekuwa revokedMsanii,
Nipo sana hapa nastaajabu wewe kusema nimepotea.
Nakukaribisha katika Group yangu: ''Historia Yetu Miaka 100.''
![]()
My...Naomba link Mkuu. Hii imekuwa revoked
Historia ya Tanganyika nilishaijibu kupitia kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi...Yericko Nyerere Njoo ujibu tuhuma mkuu
Hakika, lazima nia ya kujifunza iwepo.Histiria sio lazima uwe ulikuwepo wakati wa matukio. Haya unayapata kupitia masimulizi na kujisomea
Gag...Hakika, lazima nia ya kujifunza iwepo.
Yericko amewahi kuweka humu picha ya kina mama waliomsindikiza Nyerere uwanja wa ndege kwenye moja ya safari zake nje, Yericko kawatambulisha kimakosa wale kina mama kama watawa wa Maryknoll.
Kuamini porojo za Yericko yapaswa uwe na moyo mgumu sana.Gag...
Picha hiyo hapo chini ipo katika kitabu hicho unachokiona:
View attachment 2466107
Kulia: Bi. Chiku bint Said Kisusa (mke wa Shariff Abdallah Omar Attas), Bi. Titi Mohamed na mwanzo kushoto ni Bi. Tatu bint Mzee na Julius Nyerere ndiye huyo katikati. Akina mama hawa wanamsindikiza Nyerere Uwanja wa Ndege safari ya kwanza UNO 1955.
View attachment 2466110