Yericko Nyerere na historia ya African Association

Histiria sio lazima uwe ulikuwepo wakati wa matukio. Haya unayapata kupitia masimulizi na kujisomea
Hakika, lazima nia ya kujifunza iwepo.

Yericko amewahi kuweka humu picha ya kina mama waliomsindikiza Nyerere uwanja wa ndege kwenye moja ya safari zake nje, Yericko kawatambulisha kimakosa wale kina mama kama watawa wa Maryknoll.
 
Gag...
Picha hiyo hapo chini ipo katika kitabu hicho unachokiona:

Kulia: Bi. Chiku bint Said Kisusa (mke wa Shariff Abdallah Omar Attas), Bi. Titi Mohamed na mwanzo kushoto ni Bi. Tatu bint Mzee na Julius Nyerere ndiye huyo katikati. Akina mama hawa wanamsindikiza Nyerere Uwanja wa Ndege safari ya kwanza UNO 1955.

Kuamini porojo za Yericko yapaswa uwe na moyo mgumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…