Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #121
Lissu anaweza kabisa kuongoza CHADEMA. Lakini msiweke tumaini lililopitiliza mkitarajia kuwa
atakuwa masihi fulani hivi. Kwamba akiwepo pale basi problem solved. Msije kuhuzunika baadaye.
Hapa JF ni vyema wadau waweze kuchambua sifa zote za Lissu, hasi na chanya, ili kuweza kutoa ushauri maridhawa kwa wahusika.
Hakuna haja ya ushabiki kwenye siasa. Hakuna malaika wala hakuna kiongozi anayestahili kupewa blank cheque (carte blanche).
Hizo ni habari za kujifarijiMimi sio mwanasiasa
Ningekuwa mwanasiasa ningekuwa zaidi ya huyo Yericko wako
Hizo ni habari za kujifariji
Huwezi siasa ndo maana sio mwanasiasa
Hivi ni kosa mtu kutafuta kipato ebu tumia akiliYericko anapambania tumbo lake Kwa kivuli cha kulima bamia na kuuza vitabu.
Kwa Elimu yake aliyosoma VETA umeme wa majumbani bado hiatoshi kumfanya kuwa na uelewa mpana wa siasa za upinzani
Sio kuniachia huwezi siasaSiasa nimekuachia wewe mpigania Uhuru wa Pili.
Sio kuniachia huwezi siasa
Kuniachia ni lini umefanya siasa
Huwezi acha jambo ambalo hujawahi-fanya
Hivi ni kosa mtu kutafuta kipato ebu tumia akili
Kulima bamia na kuuza vitabu ni kosa la jinai sasa unataka aishije
Itategemea serikali ya CCM inaamua nini. Mazingira ya awamu ya 4 ni tofauti kabisa na ya awamu za 5 na 6. JPM alidhamiria kuhakikisha upinzani haupati nafasi kama ya 2010-2015 na unakufa kabisa kufikia 2020. Kazi yake mliiona. Kuna wengi humu mlimsifia kwa βkutocheka na kimaβ i.e. upinzani!Tunataka upinzani ufike kile kiwango cha mwaka 2010-2015.
Kwa sasa kipo chini yaani kipo below 10%
Unaona Mwabukusi alivyowapiga KnockOut?Lisu kwa siasa za CCM ndio anaweza kumudu na kina Mwakabusi.
Unaona Mwabukusi alivyowapiga KnockOut?
Well spoken, ccm na dola kwa sasa hawana mbinu nyingine ya kupambana na nguvu ya Chadema zaidi ya Terrorism. Kwa hoja walishafeli na Wananchi hawawaungi mkono te na kama zamani.Itategemea serikali ya CCM inaamua nini. Mazingira ya awamu ya 4 ni tofauti kabisa na ya awamu za 5 na 6. JPM alidhamiria kuhakikisha upinzani haupati nafasi kama ya 2010-2015 na unakufa kabisa kufikia 2020. Kazi yake mliiona. Kuna wengi humu mlimsifia kwa βkutocheka na kimaβ i.e. upinzani!
Na hivi sasa ni wazi serikali ya CCM imeamua kuweka bila kificho all options on the table katika kudhibiti upinzani. Imejiandaa hata kwa mateso na mauaji ya kutisha ili kuogofya (terrorize) na kuangamiza kabisa upinzani. Dozi ndogo imeshatolewa uchaguzi wa TAMISEMI 2024.
Kwa hisia ninazoziona hapa JF hivi sasa, ili upinzani uwe na maana Tanzania leo hii basi ni lazima uweze kuwahamasisha na kuwaongoza Watanzania waanzishe mapambano nguvu (violent confrontation) dhidi ya serikali na dola iliyoamua kutawala kidikteta na kukanyaga katiba na sheria wazi wazi.
Wengi mnatarajia Lissu ndiye atakayeweza kuigeuza CHADEMA ifanye hiyo kazi ya mapambano ya nguvu. Itakuwa vyema akifanikiwa. Lakini kiuhalisia, hii CHADEMA mpya mnayoitumaini itabidi iwe ZAIDI ya ile ya 2010-2015 ambapo serikali ya CCM ilikuwa na kiwango fulani cha ustaarabu.
NIwapi nimekuambia mimi ni mwanasiasa ebu nionyesheNdio maana nimekuachia.
Wewe siasa zako zipo huku mitandaoni. Bingwa kabisa wewe
Hiyo iko kwa wanadamu woteHuyo anaishi Kwa siasa kupitia Mbowe na sio kuwa anategemea bamia na vitabu na kinachompa shida ni pale anapomuona MTU aliyekuwa anampa ulaji anaenda kuangushwa
NIwapi nimekuambia mimi ni mwanasiasa ebu nionyeshe
Nionyeshe sehemu niliyosema mimi ni mwanasiasa wa mtandaoni na ni mwanasiasa gani anatumia jina fakeUsername yako pekee inaonyesha hivyo.
Jukwaa ulilopo ni kiashiria kingine.
Hoja zako nazo zinakuthibitisha kuwa wewe ni mwanasiasa lakini wa mitandaoni
Nionyeshe sehemu niliyosema mimi ni mwanasiasa wa mtandaoni na ni mwanasiasa gani anatumia jina fake
Mimi mwanasiasa alafu nitumie jina fake uoni kama ntakua mjinga sana
Kuwa mwanasiasa sio jambo baya ntajidanganya sana kama nikifikiri ni mwanasiasaπππ
Kwani siasa inakataza kutumia kina bandia?
Wewe mwanasiasa bhana ila WA mitandaoni. Sio kama ni Jambo Baya lakini
Kuwa mwanasiasa sio jambo baya ntajidanganya sana kama nikifikiri ni mwanasiasa
Mmelipwa kuja kumpambania MboweKuwa mwanasiasa sio jambo baya ntajidanganya sana kama nikifikiri ni mwanasiasa