Yericko Nyerere na wenzake wenye Mashaka na Lissu waende kwenye Kaburi la JPM halafu wamuulize Tundu Lissu ni Nani? Maana huenda hawamjui vizuri

Lissu anaweza kabisa kuongoza CHADEMA. Lakini msiweke tumaini lililopitiliza mkitarajia kuwa
atakuwa masihi fulani hivi. Kwamba akiwepo pale basi problem solved. Msije kuhuzunika baadaye.

Hapa JF ni vyema wadau waweze kuchambua sifa zote za Lissu, hasi na chanya, ili kuweza kutoa ushauri maridhawa kwa wahusika.

Hakuna haja ya ushabiki kwenye siasa. Hakuna malaika wala hakuna kiongozi anayestahili kupewa blank cheque (carte blanche).

Tunataka upinzani ufike kile kiwango cha mwaka 2010-2015.
Kwa sasa kipo chini yaani kipo below 10%
 
Tatizo hawa chawa wa mwenyekiti wanadhani Lissu hana wapambe wanajidanganya Lissu ni heavy weight siku pambalu akiongea siku heche akiongea sijui mtaficha wapi sura zenu nawahakikishia Lissu sio Mwambe na hv hapo chadema Ina maana hakuna mtu mwingine anayefaa kuwa mwenyekiti zaidi ya Mbowe???? Km ni hivyo basi hakuna chama
 
Yericko anapambania tumbo lake Kwa kivuli cha kulima bamia na kuuza vitabu.

Kwa Elimu yake aliyosoma VETA umeme wa majumbani bado hiatoshi kumfanya kuwa na uelewa mpana wa siasa za upinzani
Hivi ni kosa mtu kutafuta kipato ebu tumia akili
Kulima bamia na kuuza vitabu ni kosa la jinai sasa unataka aishije
 
Tunataka upinzani ufike kile kiwango cha mwaka 2010-2015.
Kwa sasa kipo chini yaani kipo below 10%
Itategemea serikali ya CCM inaamua nini. Mazingira ya awamu ya 4 ni tofauti kabisa na ya awamu za 5 na 6. JPM alidhamiria kuhakikisha upinzani haupati nafasi kama ya 2010-2015 na unakufa kabisa kufikia 2020. Kazi yake mliiona. Kuna wengi humu mlimsifia kwa “kutocheka na kima” i.e. upinzani!

Na hivi sasa ni wazi serikali ya CCM imeamua kuweka bila kificho all options on the table katika kudhibiti upinzani. Imejiandaa hata kwa mateso na mauaji ya kutisha ili kuogofya (terrorize) na kuangamiza kabisa upinzani. Dozi ndogo imeshatolewa uchaguzi wa TAMISEMI 2024.

Kwa hisia ninazoziona hapa JF hivi sasa, ili upinzani uwe na maana Tanzania leo hii basi ni lazima uweze kuwahamasisha na kuwaongoza Watanzania waanzishe mapambano nguvu (violent confrontation) dhidi ya serikali na dola iliyoamua kutawala kidikteta na kukanyaga katiba na sheria wazi wazi.

Wengi mnatarajia Lissu ndiye atakayeweza kuigeuza CHADEMA ifanye hiyo kazi ya mapambano ya nguvu. Itakuwa vyema akifanikiwa. Lakini kiuhalisia, hii CHADEMA mpya mnayoitumaini itabidi iwe ZAIDI ya ile ya 2010-2015 ambapo serikali ya CCM ilikuwa na kiwango fulani cha ustaarabu.
 
Well spoken, ccm na dola kwa sasa hawana mbinu nyingine ya kupambana na nguvu ya Chadema zaidi ya Terrorism. Kwa hoja walishafeli na Wananchi hawawaungi mkono te na kama zamani.
 
Username yako pekee inaonyesha hivyo.
Jukwaa ulilopo ni kiashiria kingine.

Hoja zako nazo zinakuthibitisha kuwa wewe ni mwanasiasa lakini wa mitandaoni
Nionyeshe sehemu niliyosema mimi ni mwanasiasa wa mtandaoni na ni mwanasiasa gani anatumia jina fake

Mimi mwanasiasa alafu nitumie jina fake uoni kama ntakua mjinga sana
 
😂😂😂

Kwani siasa inakataza kutumia kina bandia?

Wewe mwanasiasa bhana ila WA mitandaoni. Sio kama ni Jambo Baya lakini
 
Back
Top Bottom