Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #121
Lissu anaweza kabisa kuongoza CHADEMA. Lakini msiweke tumaini lililopitiliza mkitarajia kuwa
atakuwa masihi fulani hivi. Kwamba akiwepo pale basi problem solved. Msije kuhuzunika baadaye.
Hapa JF ni vyema wadau waweze kuchambua sifa zote za Lissu, hasi na chanya, ili kuweza kutoa ushauri maridhawa kwa wahusika.
Hakuna haja ya ushabiki kwenye siasa. Hakuna malaika wala hakuna kiongozi anayestahili kupewa blank cheque (carte blanche).
Tunataka upinzani ufike kile kiwango cha mwaka 2010-2015.
Kwa sasa kipo chini yaani kipo below 10%