Yericko Nyerere na wenzake wenye Mashaka na Lissu waende kwenye Kaburi la JPM halafu wamuulize Tundu Lissu ni Nani? Maana huenda hawamjui vizuri

Kuwa wakiki nguli hakumnyimi mtu sifa ya uropokaji ,,,, hii ni inborn Simlaumu, ukweli ni viatu havimtoshi
Kipimo Cha kuropoka ni Nini au Tafsiri yake ni nini?
Mmefundishwa kuficha ujinga kwa lugha tamu!
TAL hatumii lugha ya kuperemba ujinga anasema ulivyo
 
Wakitoka hapo wasogee kwa Benjamini Mkapa baada ya hapo waende kwa mzee wetu Jakaya hana baya yule mzee atawambia uwezo wa Lissu
 
Lissu huwezi kumpoza na virushwa vya kipumbavu lissu kwenye hii nchi angeamua uwaziri ingekua chap nikuunga mkono juhudi ila hakutaka
 
 
Lissu angeamua kulamba viatu vya watawala nchi hii angeshakua Jaji au mtu yoyote waziri wa sheria au mwanasheria mkuu wa serikali lakini mwamba hakutaka huo ujinga aliamua kusimamia haki
 
Leo hii magamba wamegeuka na kumtetea Mbowe?wakati kila siku walikuwa wanamlaumu kwa kuwa mwenyekiti muda mrefu?
Hakika Lisu ni tishio sana
 
Kipimo Cha kuropoka ni Nini au Tafsiri yake ni nini?
Mmefundishwa kuficha ujinga kwa lugha tamu!
TAL hatumii lugha ya kuperemba ujinga anasema ulivyo
Friji haligandishi,,,, anatakiwa awe na kifua
 
Machadema mtauana mwaka huu 😆😆

Huku mwamba kule Mbelgiji wa Amsterdam 😆 😆 😆 👇 👇

View: https://x.com/DianaJohn2224/status/1867921078267625953?t=YL6qGiHtvyjSJCxBczDkVw&s=19
 
Kila mtu abaki na mitano yake.
CCM mitano tena Mama anarusha.
CHADEMA wabaki na Mbowe mitano tena.

Kila mtu ashinde mechi zake.

Tatizo CHADEMA inawauma kauli ya Mama mitano tena
Inawauma Machadema kutumia falsafa za CCM kwenye mambo yenu.

By the way mbona ya chumbani kwenu mnayawwka wazi na nyie ndio Huwa mnajifanya kutoa ushauri wa kumaliza mambo kwenye vikao? 😆😆😆

Mbelgiji wa Amsterdam ametusaidia kuyajua ya wanafiki
 

Sisi tunataka Mbowe aendelee kwani kaitoa CHADEMA Mbali lakini hatutaki CCM iendelee hatujui wapi imetoka na nchi hii
 
Agent number 2 down? No not down now in kenya hellow agent 1 down yaa confirmed rtn Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…