Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawewe umelipwa kuja kumpambania lisuMm
Mmelipwa kuja kumpambania Mbowe
Kama wewe hujapotoshwa jua hakuna aliyepotoka!mnapotosha uma
Kipimo Cha kuropoka ni Nini au Tafsiri yake ni nini?Kuwa wakiki nguli hakumnyimi mtu sifa ya uropokaji ,,,, hii ni inborn Simlaumu, ukweli ni viatu havimtoshi
🚮usimpe sifa za kijinga
hakuna aliyoko juu ya ilani ya chama chamapinduzi nchi hii
Halafu anatokea Mshamba mmoja anayeishi Kigamboni maporini anakuambia Lissu Msaliti…. Anachezwa na Msigwa kupitia CCM na inachezeshwa na Dola, Lissu amekaa vikao sana Nairobi kuihujumu chadema….. hivi huyu dogo anaakili sawa sawa kweli?
Unawezaje kumuita Lissu msaliti ?
JPM alituma hadi viongozi wa Dini kumwambia Lissu aache kuisema Serikali kwani Rais anajenga nchi iliyoharibika, Lissu aliwajibu hatoacha kuikosoa Serikali kwa kuwa ni kazi yake . JPM alipoona dogo hatulii ndio akataka kumuondoa mazima
Wakati huo Yericko anapost mambo ya Ulozi akiwa porini huko kigamboni….leo eti Lissu hafai……. Jamaa kiazi kabisa
Tufike mahali Chadema tuwe na maturity na tukubali kuwa nyakati zinabadilika na wasomi wanaongezeka mabadiliko yatakayo accomodate mawazo mengi ni lazima , tusiwe watu wa zidumu fikra Za mwenyeki….. sio muda wake
Lissu angeamua kulamba viatu vya watawala nchi hii angeshakua Jaji au mtu yoyote waziri wa sheria au mwanasheria mkuu wa serikali lakini mwamba hakutaka huo ujinga aliamua kusimamia hakiHalafu anatokea Mshamba mmoja anayeishi Kigamboni maporini anakuambia Lissu Msaliti…. Anachezwa na Msigwa kupitia CCM na inachezeshwa na Dola, Lissu amekaa vikao sana Nairobi kuihujumu chadema….. hivi huyu dogo anaakili sawa sawa kweli?
Unawezaje kumuita Lissu msaliti ?
JPM alituma hadi viongozi wa Dini kumwambia Lissu aache kuisema Serikali kwani Rais anajenga nchi iliyoharibika, Lissu aliwajibu hatoacha kuikosoa Serikali kwa kuwa ni kazi yake . JPM alipoona dogo hatulii ndio akataka kumuondoa mazima
Wakati huo Yericko anapost mambo ya Ulozi akiwa porini huko kigamboni….leo eti Lissu hafai……. Jamaa kiazi kabisa
Tufike mahali Chadema tuwe na maturity na tukubali kuwa nyakati zinabadilika na wasomi wanaongezeka mabadiliko yatakayo accomodate mawazo mengi ni lazima , tusiwe watu wa zidumu fikra Za mwenyeki….. sio muda wake
Friji haligandishi,,,, anatakiwa awe na kifuaKipimo Cha kuropoka ni Nini au Tafsiri yake ni nini?
Mmefundishwa kuficha ujinga kwa lugha tamu!
TAL hatumii lugha ya kuperemba ujinga anasema ulivyo
Friji haligandishi ,,, !Mropokaji ni mtu anayeongea pasipokuwa na hoja. Tusaidie ni wapi ambapo Lissu aliwahi kuongea bila hoja.
Kwahiyo yeye ana nini hapo alipo!Friji haligandishi,,,, anatakiwa awe na kifua
Machadema mtauana mwaka huu 😆😆Kwema Wakuu!
Unaweza kuishi na mtu Miaka nenda Rudi lakini usiujue uwezo wake.
Kimichezo, huwezi kujua uwezo wa mshambuliaji wa timu yenu zaidi ya Beki anayemkaba Mshambuliaji wenu.
Yaani Mabeki wa Barcelona hawawezi uelewa uwezo wa Messi uwanjani kuliko Mabeki wa timu zingine kama Real Madrid.
Huwezi Jua Msimamo na uwezo wa Mkeo au mumeo kukataa na tamaa yake zaidi ya wale wanaomtongoza Mumeo au Mkeo.
Yericko Nyerere na wenzake hawana uwezo wowote wa kuelezea uwezo wa Tundu Lisu.
Watu pekee wanaomjua Tundu Lisu uwezo wake namba Moja kabisa ni Hayati John pombe Magufuli na washauri wake wote.
Hao wanaweza wakakueleza Tundu Lisu ni mtu wa aina gani.
Kipindi cha awamu ya tano wakati nchi nzima ikiwa imetulizwa, ikatulia, uwanja ukiwa umeinama, wapinzani wakiwa hoi dhidi ya JPM na team yake.
Lisu ndiye aliyekuwa kinara yaani kama kwenye Filamu tungesema Mhusika Mkuu katika mapambano ya awamu ya tano walikuwa ni Lisu Vs JPM.
Na mechi ilichezwa dakika Mia na ishirini Mpaka Penati.
Lisu licha ya kushambuliwa vikali lakini hakujisalimisha,
Ilifika hatua nchi ikabaki na watu wawili tuu. Yaani JPM Vs Lisu.
Sisi wengine akiwemo Yericko na wenzake tulibaki mashimoni kama panya Buku, tukigeuka Keyboard warriors huku tukimwambia Maxence Melo asije akatuuza 😃😃
Usalama wa taifa, serikali ndio inajua uwezo wa Lisu kwa sababu wao ndio wanakuwa wanakinzana mara kwa mara. Lakini sio kina Yericko.
Kwa Sisi watunzi wa simulizi na filamu, Lisu tungempa uwezo wa ajabu na ikiwezekana kumnusuru kivyovyote ili mwisho Adui kuu akutane na Star.
Nishamaliza
Machadema mtauana mwaka huu 😆😆
Huku mwamba kule Mbelgiji wa Amsterdam 😆 😆 😆 👇 👇
View: https://x.com/DianaJohn2224/status/1867921078267625953?t=YL6qGiHtvyjSJCxBczDkVw&s=19
Inawauma Machadema kutumia falsafa za CCM kwenye mambo yenu.Kila mtu abaki na mitano yake.
CCM mitano tena Mama anarusha.
CHADEMA wabaki na Mbowe mitano tena.
Kila mtu ashinde mechi zake.
Tatizo CHADEMA inawauma kauli ya Mama mitano tena
Inawauma Machadema kutumia falsafa za CCM kwenye mambo yenu.
By the way mbona ya chumbani kwenu mnayawwka wazi na nyie ndio Huwa mnajifanya kutoa ushauri wa kumaliza mambo kwenye vikao? 😆😆😆
Mbelgiji wa Amsterdam ametusaidia kuyajua ya wanafiki
Agent number 2 down? No not down now in kenya hellow agent 1 down yaa confirmed rtn TzKwema Wakuu!
Unaweza kuishi na mtu Miaka nenda Rudi lakini usiujue uwezo wake.
Kimichezo, huwezi kujua uwezo wa mshambuliaji wa timu yenu zaidi ya Beki anayemkaba Mshambuliaji wenu.
Yaani Mabeki wa Barcelona hawawezi uelewa uwezo wa Messi uwanjani kuliko Mabeki wa timu zingine kama Real Madrid.
Huwezi Jua Msimamo na uwezo wa Mkeo au mumeo kukataa na tamaa yake zaidi ya wale wanaomtongoza Mumeo au Mkeo.
Yericko Nyerere na wenzake hawana uwezo wowote wa kuelezea uwezo wa Tundu Lisu.
Watu pekee wanaomjua Tundu Lisu uwezo wake namba Moja kabisa ni Hayati John pombe Magufuli na washauri wake wote.
Hao wanaweza wakakueleza Tundu Lisu ni mtu wa aina gani.
Kipindi cha awamu ya tano wakati nchi nzima ikiwa imetulizwa, ikatulia, uwanja ukiwa umeinama, wapinzani wakiwa hoi dhidi ya JPM na team yake.
Lisu ndiye aliyekuwa kinara yaani kama kwenye Filamu tungesema Mhusika Mkuu katika mapambano ya awamu ya tano walikuwa ni Lisu Vs JPM.
Na mechi ilichezwa dakika Mia na ishirini Mpaka Penati.
Lisu licha ya kushambuliwa vikali lakini hakujisalimisha,
Ilifika hatua nchi ikabaki na watu wawili tuu. Yaani JPM Vs Lisu.
Sisi wengine akiwemo Yericko na wenzake tulibaki mashimoni kama panya Buku, tukigeuka Keyboard warriors huku tukimwambia Maxence Melo asije akatuuza 😃😃
Usalama wa taifa, serikali ndio inajua uwezo wa Lisu kwa sababu wao ndio wanakuwa wanakinzana mara kwa mara. Lakini sio kina Yericko.
Kwa Sisi watunzi wa simulizi na filamu, Lisu tungempa uwezo wa ajabu na ikiwezekana kumnusuru kivyovyote ili mwisho Adui kuu akutane na Star.
Nishamaliza
Agent number 2 down? No not down now in kenya hellow agent 1 down yaa confirmed rtn Tz