The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere Mwanachama wa kweli wa CHAUMMA anasimama kidete na kuweka wazi kuwa yeye hana dini na kimbilio lake ni mizimu kwa sababu ndiyo chimbuko lake.
Ni mazoea tu ndio kitu kinacho wafanya watu wamuombe mungu neno Mungu limetumika tu kama psychology as bias ya kumfanya mtu aamini kuwa Kuna kiumbe sijui chenye nguvu kuliko viumbe wote ndio ambacho binaadamu tunapaswa kukitegemeaMuongo mkubwa hakuna mtu anayeabudu mizimu wako wanaoomba mizimu
Dini za asili huamini kuwa kuna Mungu lakini ikifika kuomba huomba mizimu
Kila kabila Tanzania lina jina la Mungu kwa kilugha ila waombapo huomba mizimu kama ilivyo kwa wakatoliki huamini kuna Mungu ikifika kuomba huomba mizimu ya watu waliokufa kama Maria,Petro nk mizimu ta watu waliokufa zamani ambayo huiiya mizimu mitakatifu kuwa hiyo mizimu iwaombee kwa Mungu
Sijui kama ulishawahi kuwa na akili wewe,wajihi wako unaonijia akilini.Dini za asili huamini kuwa kuna Mungu lakini ikifika kuomba huomba mizimu
Kila kabila Tanzania lina jina la Mungu kwa kilugha ila waombapo huomba mizimu kama ilivyo kwa wakatoliki huamini kuna Mungu ikifika kuomba huomba mizimu ya watu waliokufa kama Maria,Petro,Yohana nk mizimu ya watu maarufu waliokufa zamani ambayo huiita mizimu mitakatifu kuwa hiyo mizimu iwaombee kwa Mungu
Mtu yeyote akifa uiienda kumuomba lolote unaomba kwa mizimuSijui kama ulishawahi kuwa na akili wewe,wajihi wako unaonijia akilini.View attachment 3438257
Muda wote huwa unaandika kwa taharuki na kukurupuka.
You are a indoctrinated gullible.Basi wewe ni zaidi ya shetani 🐼
Kuabudu mzimu wa Nyerere ambaye ni Mwenyeheri wa Kanisa Katoliki ndio aseme anaabudu mzimu wa babu zake?You are a indoctrinated gullible.
Waafrika mna upumbavu wa kutukuza dini za wageni kuliko dini zenu.
Dini za mababu zenu mnaziita za kishetani halafu zile za kuletwa na Meli, mnaziita za Mungu.
This stupidity is beyond repair.
Mkuu tumia muda kidogo kujielimisha..., Kwamba kabla ya Ulaya watu huku walikuwa hawavai ? Tangia enzi Basic Needs ni Chakula, Malazi na Mavazi hivyo watu walikuwa wanavaa ngozi za wanyama, magome ya miti n.k. kulingana na mazingira yao..., baadae Sufi hadi kuja Pamba ni process ambayo ilichukua muda na Binadamu kuchukua yaliyo bora na kuboresha..., hakuna kitu kilichotoka sehemu moja bali maboresho kutokea sehemu tofauti...Mjinga kweli huyu.... Hutaki kuiamini dini unadai zinatoka ulaya... Alafu umevaa mavazi yanayotoka huko zilikotoka dini....
Maninaaaa.... Vua hizo nguo utembee uchi kama wavaavyo hao mizimu....
Unataka kujifanya kwamba wewe ni mzamani unaabudu mizimu.. kumbe hamna lolote..... Maninaaaa....
Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere Mwanachama wa kweli wa CHAUMMA anasimama kidete na kuweka wazi kuwa yeye hana dini na kimbilio lake ni mizimu kwa sababu ndiyo chimbuko lake.
View attachment 3438241
Kila mtu ana uhuru na haki ya kuabudu chochote atakacho na apendacho bila kubughudhiwa.Kuabudu mzimu wa Nyerere ambaye ni Mwenyeheri wa Kanisa Katoliki ndio aseme anaabudu mzimu wa babu zake?
Nadhani hata huyo Yericko hujui hicho unachoabudu 🐼
😂😂😂 Kwamba unamtetea?....Mkuu tumia muda kidogo kujielimisha..., Kwamba kabla ya Ulaya watu huku walikuwa hawavai ? Tangia enzi Basic Needs ni Chakula, Malazi na Mavazi hivyo watu walikuwa wanavaa ngozi za wanyama, magome ya miti n.k. kulingana na mazingira yao..., baadae Sufi hadi kuja Pamba ni process ambayo ilichukua muda na Binadamu kuchukua yaliyo bora na kuboresha..., hakuna kitu kilichotoka sehemu moja bali maboresho kutokea sehemu tofauti...
Pili sababu jambo moja zuri limetokea sehemu fulani unataka ukichukua mzuri na mabaya uchukue ? Pili ulitaka akaue Simba ili atengeneze Jamvi la kuvaa wakati kuna Polyester ambayo ni cheaper ni comfortable....
Yericko ni mkatoliki kama Kingunge Ngombale MwiruKila mtu ana uhuru na haki ya kuabudu chochote atakacho na apendacho bila kubughudhiwa.
Una haki ya kuabudu huyo Mungu wako wa Biblia au Quran. Pia mtu mwingine yeyote yule ana haki ya kuabudu Mungu wake yeyote yule. Iwe mti, jiwe, mizimu, kaburi n.k
Kuita dini za wengine za kishetani na wewe unaiweka dini yako kuitwa ya kishetani vilevile. Kwa sababu huna uthibitisho wowote ule wa kwamba unamuabudu Mungu.
Ni imani yako tu. Kama ambavyo huyu Yericko ana imani yake.