Yericko Nyerere: Ninaabudu mizimu, siabudu dini zilizoingilia Posta, Kilwa au Bagamoyo

Yericko Nyerere: Ninaabudu mizimu, siabudu dini zilizoingilia Posta, Kilwa au Bagamoyo

😂😂😂 Kwamba unamtetea?....
Nope simtetei bali kwenye jambo la IMANI huwa nasema to each their own...; kama wewe kuna kitu kinakufanya ulale vizuri au kukupa identity na hakina madhara kwa wengine good luck to you...

Ila katika kupangiana maisha kwamba hiki hakifai wakati zote ni Imani au kuita za huku ni Upumbavu na uzamani na Dini zilizokuja ndio Usasa wakati yote ni Yaleyale tu...
 
Aache sasa kuyatumia hayo majina ambayo hayaendani na hiyo imani yake. Huwezi kuamini kwenye mizimu halafu unakubali kuitwa Yericko Yohanness!! Badala yake angejiita Mbowe Msambila Mkana!
Hii ni Kanuni ya Ngapi, wapi na katika Ibara ya Imani gani ya Mizimu ? Huenda ni kama Jomo Kenyatta; ingawa tunamjua kama Jomo ila jina alilopewa na wazazi ni Kamau Ngengi na wazungu walimbatiza kama Johnstone..., Nachotaka kusema ni uamuzi wa mtu kuchagua anataka kuitwa vipi/nani hata akitaka kujiita Amita au Govinda ni uamuzi wake....; Who are we to Say Otherwise
 
Ni mazoea tu ndio kitu kinacho wafanya watu wamuombe mungu neno Mungu limetumika tu kama psychology as bias ya kumfanya mtu aamini kuwa Kuna kiumbe sijui chenye nguvu kuliko viumbe wote ndio ambacho binaadamu tunapaswa kukitegemea

Lakini kiuhalisia binaadamu wote Duniani Wana abudu mizimu pamoja na majini bila ya wao kujua

Zao la hizi dini zote ambazo watu Wana zifuata na kuziamini Chimbuko lake ni unseen world Toka Kwa viumbe vinavyo patikana katika huo ulimwengu!!!! So unapo fanya maombi Kwa ustadi wa hali ya juu inakuwa na wepesi wa kuweza kuconnect na hivyo viumbe na vyenyewe vina kuwa tayari kukupa company katika masuala mbali mbali utakayo kuwa unayo yahitaji but in return you have to pay something ,


So watu wengi hawajui Hilo Kwa sababu ni vitu vilivyo fichwa but kiuhalisia huo ndio ukweli , Dini zote Chimbuko lake ni mizimu na majini
Kwahiyo mtu akifa(mzimu) anapata power ambayo anaweza kumpatia kitu binaadamu ambacho anakiomba?
 
You are a indoctrinated gullible.

Waafrika mna upumbavu wa kutukuza dini za wageni kuliko dini zenu.

Dini za mababu zenu mnaziita za kishetani halafu zile za kuletwa na Meli, mnaziita za Mungu.

This stupidity is beyond repair.
Ukiweka mtazamo huo mkuu basi tutafikia kuambiana tuache kwenda hospitali na kutumia mitishamba na kujitibu maana ndio tiba zetu.
 
Hako kajamaa ni kajinga, katapeli na kasanii tu. Hakana lolote.
 
Tangu aongelee mizimu hajawahi kutaja hata jina moja la hio mizimu
 
Mjinga kweli huyu.... Hutaki kuiamini dini unadai zinatoka ulaya... Alafu umevaa mavazi yanayotoka huko zilikotoka dini....

Maninaaaa.... Vua hizo nguo utembee uchi kama wavaavyo hao mizimu....

Unataka kujifanya kwamba wewe ni mzamani unaabudu mizimu.. kumbe hamna lolote..... Maninaaaa....
Kwani nguo ni nini? Mbona pamba ilotengenezea nguo imetoka shinyanga? Nafikiri aheshimiwe kwa maamuzi yake ya kiimani
 
Mjinga kweli huyu.... Hutaki kuiamini dini unadai zinatoka ulaya... Alafu umevaa mavazi yanayotoka huko zilikotoka dini....

Maninaaaa.... Vua hizo nguo utembee uchi kama wavaavyo hao mizimu....

Unataka kujifanya kwamba wewe ni mzamani unaabudu mizimu.. kumbe hamna lolote..... Maninaaaa....

Uwezo wako wa kuchakata mambo ni mdogo sana kama Hangaya. Umejibu mambo yote ambayo ni irrelevant.
 
Back
Top Bottom