Yericko Nyerere: Ninaabudu mizimu, siabudu dini zilizoingilia Posta, Kilwa au Bagamoyo

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwamba unamtetea?....
Nope simtetei bali kwenye jambo la IMANI huwa nasema to each their own...; kama wewe kuna kitu kinakufanya ulale vizuri au kukupa identity na hakina madhara kwa wengine good luck to you...

Ila katika kupangiana maisha kwamba hiki hakifai wakati zote ni Imani au kuita za huku ni Upumbavu na uzamani na Dini zilizokuja ndio Usasa wakati yote ni Yaleyale tu...
 
Aache sasa kuyatumia hayo majina ambayo hayaendani na hiyo imani yake. Huwezi kuamini kwenye mizimu halafu unakubali kuitwa Yericko Yohanness!! Badala yake angejiita Mbowe Msambila Mkana!
Hii ni Kanuni ya Ngapi, wapi na katika Ibara ya Imani gani ya Mizimu ? Huenda ni kama Jomo Kenyatta; ingawa tunamjua kama Jomo ila jina alilopewa na wazazi ni Kamau Ngengi na wazungu walimbatiza kama Johnstone..., Nachotaka kusema ni uamuzi wa mtu kuchagua anataka kuitwa vipi/nani hata akitaka kujiita Amita au Govinda ni uamuzi wake....; Who are we to Say Otherwise
 
Kwahiyo mtu akifa(mzimu) anapata power ambayo anaweza kumpatia kitu binaadamu ambacho anakiomba?
 
You are a indoctrinated gullible.

Waafrika mna upumbavu wa kutukuza dini za wageni kuliko dini zenu.

Dini za mababu zenu mnaziita za kishetani halafu zile za kuletwa na Meli, mnaziita za Mungu.

This stupidity is beyond repair.
Ukiweka mtazamo huo mkuu basi tutafikia kuambiana tuache kwenda hospitali na kutumia mitishamba na kujitibu maana ndio tiba zetu.
 
Hako kajamaa ni kajinga, katapeli na kasanii tu. Hakana lolote.
 
Tangu aongelee mizimu hajawahi kutaja hata jina moja la hio mizimu
 
Kwani nguo ni nini? Mbona pamba ilotengenezea nguo imetoka shinyanga? Nafikiri aheshimiwe kwa maamuzi yake ya kiimani
 

Uwezo wako wa kuchakata mambo ni mdogo sana kama Hangaya. Umejibu mambo yote ambayo ni irrelevant.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…