Yericko Nyerere unasema Samia hajavunja Katiba
Je, katiba inamuelekeza kuuwa raia wake?,
Je, Katiba inamuelekeza kukaa kimya juu ya utekaji?
Je, hiyo Katiba inasemaje kuhusu haki ya Maandamano kwa wananchi?
Tulia kijana tunaujua unaupiga mwingi upate angalau ka uteuzi kutoka kwa Samia, unatakiwa uelewe kwanza wanachodai vijana ni kitu gani, maana hicho kipara hakijakusaidia kwenye fikra
---------------
“Ninawashauri vijana kuwa wanaowashawishi kupanga mapinduzi na kuwataka warudi tena Disemba 9 wanawapoteza. Hata huyo anayewachochea hajui namna ya kufanya mapinduzi. Kimsingi, jaribio la mapinduzi linaposhindikana kwa mara ya kwanza, mara nyingi haliwezi kufanikiwa tena. Hata wale ambao mlidhani wanawaunga mkono hubadilika na kuacha kuwapa ushirikiano.
Wapo wanaowaaminisha vijana kuwa jeshi lipo upande wao na linawaunga mkono huko ni kuwadanganya. Jeshi letu lipo imara, lina kiapo cha kulinda nchi, na haliwezi kuunga mkono kumuondoa rais aliyepo madarakani. Hata kama jeshi lingekuwa na nia hiyo, halingeweza kusubiri kauli kutoka kwa Mange Kimambi ili kumuondoa Rais,” amesema Yericko Nyerere, mchambuzi wa masuala ya uchumi na siasa.