Pre GE2025 Yericko Nyerere: Wajumbe tutakomesha Matusi ya Lissu aliyotutukana kwa kumchagua Mbowe kwa 90%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Bwana Yericko anasema Leo watamuonesha Tundu Lisu kwamba wao Huwa hawanunuliwi na matusi aliyowatukana na kuwapaka watayakomesha Leo Kwa kumchagua Mbowe Kwa ushindi wa zaidi ya asilimia 90%.

Bwana Yericko ameenda mbali zaidi Kwa kusema hata nafasi ya kukata rufaa inatakiwa isiwepo Ili bwana Lisu afe taratiiibu bila kurusha miguu 😆😆😆😆

View: https://www.instagram.com/reel/DFFuHlLKp7T/?igsh=Y21qeTFoY3lrMmg5

My Take
Leo kitaumana huko Chadomo

Clouds mbowe.png
 
CCM ndio ina Wajumbe

Chadema wanaokotana okotana tu ndio sababu FFU wameimarisha Ulinzi Kwenye vitegauchumi vyote hapo Mlimani City

Pale ng'ambo tulichezaga sana Sikinde Ngoma ya Ukae 😂😂😂
 
Bwana Yericko anasema Leo watamuonesha Tundu Lisu kwamba wao Huwa hawanunuliwi na matusi aliyowatukana na kuwapaka watayakomesha Leo Kwa kumchagua Mbowe Kwa ushindi wa zaidi ya asilimia 90%.

Bwana Yericko ameenda mbali zaidi Kwa kusema hata nafasi ya kukata rufaa inatakiwa isiwepo Ili bwana Lisu afe taratiiibu bila kurusha miguu 😆😆😆😆

My Take
Leo kitaumana huko Chadomo

Katika watu wajinga ni huyu, kajitoa ufahamu, anajiona ana akili ,kumbe mweupe sana!! Kazi ni kukopi vitabu vya riwaya vya ulaya, kubadili majina,na kuchanganya maudhui, then anajiita mwandishi!! Kifupi huyu dogo no BOYA sana!!
 
Amekopi na ameshindwa tuzo ya mwandishi Bora Afrika,wewe akili zako ni.kushikiwa akili na kibaraka Lisu? Punguani.
 
Wamchague mbowe ili chadema ife, watakuwa wemeiua chadema kwa mikono yao wenyewe. Kule ccm itakuwa ni shangwe tele mpinzani wao kujimaliza mwenyewe
 
Bwana Yericko anasema Leo watamuonesha Tundu Lisu kwamba wao Huwa hawanunuliwi na matusi aliyowatukana na kuwapaka watayakomesha Leo Kwa kumchagua Mbowe Kwa ushindi wa zaidi ya asilimia 90%.

Bwana Yericko ameenda mbali zaidi Kwa kusema hata nafasi ya kukata rufaa inatakiwa isiwepo Ili bwana Lisu afe taratiiibu bila kurusha miguu 😆😆😆😆

My Take
Leo kitaumana huko Chadomo

Mchumia tumbo tu huyu hana jipya
 
Amekopi na ameshindwa tuzo ya mwandishi Bora Afrika,wewe akili zako ni.kushikiwa akili na kibaraka Lisu? Punguani.
Hamna Cha maana ile tuzo credibility yake ni ndogo sana.

Yaani watu hawajui tu tuzo hiyo, Katika Tuzo hiyo TAKATAKA mbele ya tuzo ambazo ziko recognized globally,

Hamna tuzo ya maana alopata ni Rubbish.

Upo CHAWA WA SULTAN MBOWE 😅🤣🤣🤣🤸🤸🤸🤸
 
Kuhusu Tusi lako kwangu NAKUSHUKRU, 🙏🙏🙏Mods wataangalia utaratibu wa Matusi ya Moja kwa moja kadiri ya taratibu za jukwaa!!

ila Leo ndo mwisho wa SULTANI MBOWE SULTANI wa kwanza wa CHADEMA.🤣😅🤣😅🤣
 
Katika watu wajinga ni huyu, kajitoa ufahamu, anajiona ana akili ,kumbe mweupe sana!! Kazi ni kukopi vitabu vya riwaya vya ulaya, kubadili majina,na kuchanganya maudhui, then anajiita mwandishi!! Kifupi huyu dogo no BOYA sana!!
INAJIELEZA
 
Attachments

  • Umeme umekatika ghafla wakati Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akitoa neno lake la s...mp4
    4.7 MB
Hamna Cha maana ile tuzo credibility yake ni ndogo sana.

Yaani watu hawajui tu tuzo hiyo, Katika Tuzo hiyo TAKATAKA mbele ya tuzo ambazo ziko recognized globally,

Hamna tuzo ya maana alopata ni Rubbish.

Upo CHAWA WA SULTAN MBOWE 😅🤣🤣🤣🤸🤸🤸🤸
Wivu 😆😆
 
Back
Top Bottom