Pre GE2025 Yericko Nyerere: Wajumbe tutakomesha Matusi ya Lissu aliyotutukana kwa kumchagua Mbowe kwa 90%

Pre GE2025 Yericko Nyerere: Wajumbe tutakomesha Matusi ya Lissu aliyotutukana kwa kumchagua Mbowe kwa 90%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nashukuru huu uchaguzi umenifanya nigundue Yericko ni Magimbi nilikua namuona kijana smart kumbe kichwa kimejaa mkaa na mifupa tu hana ubongo yule jamaa
Hamna kitu, lakini pia ,kama mfanyabiashara alitakiwa ajue namna bya kubalance shobo za siasa!!

Wanainchi, wanachadema wasiompenda Mbowe! Ni rahisi sana kuacha "KUNUNUA VIJTABU VYAKE UCHWARA "🤣😅🤣😅

Kwaheri Vitabu vya Yeriko!!!
 
Jichanganyeni mtuletee huyo sultan wenu, wengine siyo wanachama wenu na hatuna upande wowote wa siasa ila tunamhitaji zaidi Lisu kutusogeza mbele.
Kibaraka Lisu akusogeze wewe aache familia yake? Zinakutosha kichwani lakini?
 
Nashukuru huu uchaguzi umenifanya nigundue Yericko ni Magimbi nilikua namuona kijana smart kumbe kichwa kimejaa mkaa na mifupa tu hana ubongo yule jamaa
Kwa sababu hamtaki kibaraka Lisu au? Kwani Kuna shida gani baada ya wewe Kugundua hivyo ndio maisha yake yatasimama au?

Punguza shobo za kijinga sio Kila mtu ameshikiwa akili na vibaraka mfano wa Lisu.
 
Mimi ndiomana siku ya kupiga kura natulia home napiga Savannah sijichoshi na wachumia tumbo..!!
 
Hamna kitu, lakini pia ,kama mfanyabiashara alitakiwa ajue namna bya kubalance shobo za siasa!!

Wanainchi, wanachadema wasiompenda Mbowe! Ni rahisi sana kuacha "KUNUNUA VIJTABU VYAKE UCHWARA "🤣😅🤣😅

Kwaheri Vitabu vya Yeriko!!!
Kusoma vitabu ni Kwa watu wanaotaka maarifa na kujielimisha sio Kwa nyie nyumbu na wajinga mlioehukiwa akili na kibaraka Lisu.
 
Bwana Yericko anasema Leo watamuonesha Tundu Lisu kwamba wao Huwa hawanunuliwi na matusi aliyowatukana na kuwapaka watayakomesha Leo Kwa kumchagua Mbowe Kwa ushindi wa zaidi ya asilimia 90%.

Bwana Yericko ameenda mbali zaidi Kwa kusema hata nafasi ya kukata rufaa inatakiwa isiwepo Ili bwana Lisu afe taratiiibu bila kurusha miguu 😆😆😆😆

View: https://www.instagram.com/reel/DFFuHlLKp7T/?igsh=Y21qeTFoY3lrMmg5

My Take
Leo kitaumana huko Chadomo

Majigambo mengi, wakati mafanikio yao katika hilo analoliongea ni message kwa watanzania kuwa wasiwaingilie kwenye mambo yenu.
 
Bwana Yericko anasema Leo watamuonesha Tundu Lisu kwamba wao Huwa hawanunuliwi na matusi aliyowatukana na kuwapaka watayakomesha Leo Kwa kumchagua Mbowe Kwa ushindi wa zaidi ya asilimia 90%.

Bwana Yericko ameenda mbali zaidi Kwa kusema hata nafasi ya kukata rufaa inatakiwa isiwepo Ili bwana Lisu afe taratiiibu bila kurusha miguu 😆😆😆😆

View: https://www.instagram.com/reel/DFFuHlLKp7T/?igsh=Y21qeTFoY3lrMmg5

My Take
Leo kitaumana huko Chadomo

Huyo dada mbona hajui hata kuongea, ni chadema kweli huyo!? Chadema gani anaongea maneno hata hayana mpangilio
 
Wasenge mna hasira kweli Trump anasema jinsia ni mbili tu hiyo jinsia yenu ya tatu tafuteni dunia yenu.
Sawa ila mwanamke mwenzako amemkataa kibaraka Lisu kisa matusi na kudhalilisha wanawake,wewe vipi?
 
Katika watu wajinga ni huyu, kajitoa ufahamu, anajiona ana akili ,kumbe mweupe sana!! Kazi ni kukopi vitabu vya riwaya vya ulaya, kubadili majina,na kuchanganya maudhui, then anajiita mwandishi!! Kifupi huyu dogo no BOYA sana!!
Ni nani huyu ni mwandishi au ni mjukuu wa mwl Nyerere?!
 
Bwana Yericko anasema Leo watamuonesha Tundu Lisu kwamba wao Huwa hawanunuliwi na matusi aliyowatukana na kuwapaka watayakomesha Leo Kwa kumchagua Mbowe Kwa ushindi wa zaidi ya asilimia 90%.

Bwana Yericko ameenda mbali zaidi Kwa kusema hata nafasi ya kukata rufaa inatakiwa isiwepo Ili bwana Lisu afe taratiiibu bila kurusha miguu 😆😆😆😆

View: https://www.instagram.com/reel/DFFuHlLKp7T/?igsh=Y21qeTFoY3lrMmg5

My Take
Leo kitaumana huko Chadomo

Umasikini tuongee nini 2025😂😂😂😂😂Umasikini tuongee nini 2025😂😂😂😂😂Umasikini tuongee nini 2025😂😂😂😂😂Umasikini tuongee nini 2025😂😂😂😂😂Umasikini tuongee nini 2025😂😂😂😂😂Umasikini tuongee nini 2025😂😂😂😂😂Umasikini tuongee nini 2025😂😂😂😂😂Umasikini tuongee nini 2025😂😂😂😂😂

Siasa Ya chadema huwa ni matusi Umasikini tuongee nini 2025...

Umasikini tuongee nini 2025😂😂😂😂😂Umasikini tuongee nini 2025😂😂😂😂😂Umasikini tuongee nini 2025😂😂😂😂😂Umasikini tuongee nini 2025😂😂😂😂😂Umasikini tuongee nini 2025😂😂😂😂😂

Utajiri haunaga hilo tatizo umasikini 😂😂😂😂Umasikini tuongee nini 2025😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom