ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Katika watu wajinga ni huyu, kajitoa ufahamu, anajiona ana akili ,kumbe mweupe sana!! Kazi ni kukopi vitabu vya riwaya vya ulaya, kubadili majina,na kuchanganya maudhui, then anajiita mwandishi!! Kifupi huyu dogo no BOYA sana!!Bwana Yericko anasema Leo watamuonesha Tundu Lisu kwamba wao Huwa hawanunuliwi na matusi aliyowatukana na kuwapaka watayakomesha Leo Kwa kumchagua Mbowe Kwa ushindi wa zaidi ya asilimia 90%.
Bwana Yericko ameenda mbali zaidi Kwa kusema hata nafasi ya kukata rufaa inatakiwa isiwepo Ili bwana Lisu afe taratiiibu bila kurusha miguu ππππ
My Take
Leo kitaumana huko Chadomo
Amekopi na ameshindwa tuzo ya mwandishi Bora Afrika,wewe akili zako ni.kushikiwa akili na kibaraka Lisu? Punguani.Katika watu wajinga ni huyu, kajitoa ufahamu, anajiona ana akili ,kumbe mweupe sana!! Kazi ni kukopi vitabu vya riwaya vya ulaya, kubadili majina,na kuchanganya maudhui, then anajiita mwandishi!! Kifupi huyu dogo no BOYA sana!!
Punguani yuko kizimkazi!Amekopi na ameshindwa tuzo ya mwandishi Bora Afrika,wewe akili zako ni.kushikiwa akili na kibaraka Lisu? Punguani.
Mchumia tumbo tu huyu hana jipyaBwana Yericko anasema Leo watamuonesha Tundu Lisu kwamba wao Huwa hawanunuliwi na matusi aliyowatukana na kuwapaka watayakomesha Leo Kwa kumchagua Mbowe Kwa ushindi wa zaidi ya asilimia 90%.
Bwana Yericko ameenda mbali zaidi Kwa kusema hata nafasi ya kukata rufaa inatakiwa isiwepo Ili bwana Lisu afe taratiiibu bila kurusha miguu ππππ
My Take
Leo kitaumana huko Chadomo
Mwandishi bora nani? Huyu punga Yericko au kuna mwingine?Amekopi na ameshindwa tuzo ya mwandishi Bora Afrika,wewe akili zako ni.kushikiwa akili na kibaraka Lisu? Punguani.
Hamna Cha maana ile tuzo credibility yake ni ndogo sana.Amekopi na ameshindwa tuzo ya mwandishi Bora Afrika,wewe akili zako ni.kushikiwa akili na kibaraka Lisu? Punguani.
Kuhusu Tusi lako kwangu NAKUSHUKRU, πππMods wataangalia utaratibu wa Matusi ya Moja kwa moja kadiri ya taratibu za jukwaa!!Amekopi na ameshindwa tuzo ya mwandishi Bora Afrika,wewe akili zako ni.kushikiwa akili na kibaraka Lisu? Punguani.
INAJIELEZAKatika watu wajinga ni huyu, kajitoa ufahamu, anajiona ana akili ,kumbe mweupe sana!! Kazi ni kukopi vitabu vya riwaya vya ulaya, kubadili majina,na kuchanganya maudhui, then anajiita mwandishi!! Kifupi huyu dogo no BOYA sana!!
Wivu ππHamna Cha maana ile tuzo credibility yake ni ndogo sana.
Yaani watu hawajui tu tuzo hiyo, Katika Tuzo hiyo TAKATAKA mbele ya tuzo ambazo ziko recognized globally,
Hamna tuzo ya maana alopata ni Rubbish.
Upo CHAWA WA SULTAN MBOWE π π€£π€£π€£π€Έπ€Έπ€Έπ€Έ
Kura ni siri, hao wamekula hela lazima wajiwayewaye ila kwenye sanduku wanajua wanachopaswa kufanya. Trump alishinda licha ya watu kuogopa kumtaja hadharaniINAJIELEZA
Kuhusu Tusi lako kwangu NAKUSHUKRU,