Yericko ogopa sana teknolojia. Njoo ujisahihishe hapa

Vitabu vyake ni copy & paste maandishi ya watu. Kitabu cha ujasusi kakopi na kupesti makala nyingi sana za Mzee Mihangwa.
Hakuna akili mle Niliwahi kukikuta kitabu chake Cha UJASUSI Kwa padre mmoja nikakiazima nikasome najutia sana Kwa kupoteza muda wangu Bure heri ningeenda hata kufagia barabarani.
 
Yericko Nyerere

Pitia hapa ujifunze kuwa mkweli.

View attachment 3184304

Kisha soma na hii hapa
View attachment 3184305

Kukemea uovu kunakofanywa na Lisu ni kutoa siri za chama? Hebu tueleze hapa umekuwa na ushirika na mfumo kwa muda gani sasa?
Kuongea uovu au mapungufu ya chama chako hadharani sio sawa. Mume wako akiwa kikojozi hauendi barabarani kuutangazia umma kuwa ni kikojozi. Ukiwa barabarani unamsitiri lakini unaita kikao cha watu wa karibu kuliongelea hilo tatizo.

Kila mtu anajua kuwa katika vyama vyote makini vya siasa watu wanatofautiana lakini wakitoka nje wanakuwa wamoja.

Hivi leo atoke waziri azungumzie mambo ya cabinet hadharani atapona? Au mambo ya KK ya CCM au Act Wazalendo. Njia pekee inayokubalika ni kujitoa kwenye hicho chama unacho ona kuwa kimeoza.

Mbowe ana mapungufu yake ambayo yangeweza kujadiliwa vizuri tu hadharani. H

Amandla...
 
Yericko ni tapeli tu, janja janja nyingi beneficiary katika petty cash za mbowe, kumjadili ni kupoteza muda tu, kwa huyu chawa aliyepofushwa na #keep_changes za mbowe!, kuproove haya HATA UBINI WAKE AMEKOPI ILI KURAHISISHA HARAKATI ZAKE ZA UTAPELI
 
Kuna watu wameshazoea kusemwa wakiwa mafichoni na hawabadiliki kitabia.Waache wanyooshwe hadharani ili wawe na adabu na kuiishi ile hali wanayoihubiri hadharani.Wanyooshwe tu.
 
Yericko na wenzie sasa hivi ndio wanashtuka kuwa kuna “mambo ya ndani/siri za Chama”?

Kumshambulia Lissu wanaona sawa ili akijibu mapigo wanaona kama vile anatoa siri za chama. Kumbe kuna siri chafu za Chama ambazo hawataki tujue?

Silaha wanazotumia kushambuliana ndio hizohizo CCM wataziscreenshot na kuzitumia next year kuiangamiza CHADEMA kwenye uchaguzi mkuu
Kila kitu vululu vululu! Chadema ni kama imeshanasa kwenye tundu bovu! Na mambo yoyote na kumwamini kote Lissu yawezekana kabisa ni mamluki wa ccm ndani ya Chadema au naye amenunuliwa Kwa pesa ndefu.Sio Kwa uharibifu huu kwa chama.
 
Ameingia kwenyemfumo. Enewei, mimi namsupport mbowe kwasababu ni mjomba wangu na kwakuwa hicho kikoba chake ni cha ukoo wetu, mkichangaga hela tunakuja kuzipiga hapa machame kila christmass.
🤣 🤣 🤣
 
Yericko ni tapeli tu, janja janja nyingi beneficiary katika petty cash za mbowe, kumjadili ni kupoteza muda tu, kwa huyu chawa aliyepofushwa na #keep_changes za mbowe!, kuproove haya HATA UBINI WAKE AMEKOPI ILI KURAHISISHA HARAKATI ZAKE ZA UTAPELI
🤣 🤣 🤣
 
Kila kitu vululu vululu! Chadema ni kama imeshanasa kwenye tundu bovu! Na mambo yoyote na kumwamini kote Lissu yawezekana kabisa ni mamluki wa ccm ndani ya Chadema au naye amenunuliwa Kwa pesa ndefu.Sio Kwa uharibifu huu kwa chama.
Mkuu Tundu Lissu ni injured lone ranger!
 
Kila kitu vululu vululu! Chadema ni kama imeshanasa kwenye tundu bovu! Na mambo yoyote na kumwamini kote Lissu yawezekana kabisa ni mamluki wa ccm ndani ya Chadema au naye amenunuliwa Kwa pesa ndefu.Sio Kwa uharibifu huu kwa chama.
Mnunuliwaji hata machoni tu husomeka.Lissu apige hapohapo hadi pavie damu.
 
Kuongea uovu au mapungufu ya chama chako hadharani sio sawa. Mume wako akiwa kikojozi hauendi barabarani kuutangazia umma kuwa ni kikojozi. Ukiwa barabarani unamsitiri lakini unaita kikao cha watu wa karibu kuliongelea hilo tatizo.

Kila mtu anajua kuwa katika vyama vyote makini vya siasa watu wanatofautiana lakini wakitoka nje wanakuwa wamoja.

Hivi leo atoke waziri azungumzie mambo ya cabinet hadharani atapona? Au mambo ya KK ya CCM au Act Wazalendo. Njia pekee inayokubalika ni kujitoa kwenye hicho chama unacho ona kuwa kimeoza.

Mbowe ana mapungufu yake ambayo yangeweza kujadiliwa vizuri tu hadharani. H

Amandla...
Mkuu hilo ni sahihi wakati wa utulivu na amani sio katika nyakati mapambano.

Kwenye mapambano mbinu za mapambano ndio huapply.

Kumdhibiti mshindani wako unatakiwa umpige panapo muuma zaidi.
 
1735145226051.png
 
Sikubaliani na wewe ingawa naheshimu na kuappreciate hoja yako ambayo umeileta kistaarabu. Asante sana.

Amandla...
 
Back
Top Bottom