Yericko na wenzie sasa hivi ndio wanashtuka kuwa kuna “mambo ya ndani/siri za Chama”?
Kumshambulia Lissu wanaona sawa ili akijibu mapigo wanaona kama vile anatoa siri za chama. Kumbe kuna siri chafu za Chama ambazo hawataki tujue?
Silaha wanazotumia kushambuliana ndio hizohizo CCM wataziscreenshot na kuzitumia next year kuiangamiza CHADEMA kwenye uchaguzi mkuu