Yerico hatakiwi kutumia jina la Mwalimu Nyerere

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
Hello
Ifike hatua huyu pimbi apigwe stop kutumia jina la mwalimu Nyerere analitia doa.

Nyerere Angekuwa na akili za kimalayamalaya kama za Yerico nchi hii angeipiga mnada na pengine uhuru ungechelewa sana.

Kama ilivyokuwa kwa Steve familia ya Nyerere inahaki ya kutoka hadharani na kumpiga stop huyu nyang'au ili asichafue legacy na jina la Mwaasisi wa Taifa letu.
 
Jamaa ni dakika mbili mbele halafu ni tapeli kweli kweli. Japo utapeli wake ni wa kiwango cha chini lakini anafanikiwa kuwanasa baadhi ya watu.
 
NONSENSE
 
Terico sina uhakika hata kama ni mtanzania hata kiswahili chake huwa kama matamshi yake mdomoni huwa yanasikika sio kazi yangu sio kuhukumu Ila nani anajua ndugu wa Yerico No wonder kajipachika Jina la Nyerere Kama Ngao
 
Mpuuzi sana huyu jamaa. Imagine akiwa chadema CCM imeteka imeua wanachama lakini leo hayo yote hayaoni anaikingia kifua CCM huo siyo ubinadamu hata kidogo. Hata wana CCM wanaojielewa hawawezi kufanya ujinga kama huo
 
Terico sina uhakika hata kama ni mtanzania hata kiswahili chake huwa kama matamshi yake mdomoni huwa yanasikika sio kazi yangu sio kuhukumu Ila nani anajua ndugu wa Yerico No wonder kajipachika Jina la Nyerere Kama Ngao
Very possible
 
Yericko toka Mbowe kashindwa uchaguzi, alishapoteana. 😁
Shida alikuwa na mahaba sana na Mbowe kuliko chama. 😁
Mzee wangu waga anasema kila mtu ni mgonjwa wa akili, inategemea yupo kwenye hali gani. Kuna situation waga zinamtokea mtu zinaibua kabisa shida yake ya akili. 😁
 
Hello
Ifike hatua huyu pimbi apigwe stop kutumia jina la mwalimu Nyerere analitia doa.

Nyerere Angekuwa na akili za kimalayamalaya kama za Yerico nchi hii angeipiga mnada na pengine uhuru ungechelewa sana.

Kama ilivyokuwa kwa Steve familia ya Nyerere inahaki ya kutoka hadharani na kumpiga stop huyu nyang'au ili asichafue legacy na jina la Mwaasisi wa Taifa letu.
Naunga mkono hoja, mtu ukijipa mwenyewe jina la kiongozi anayeheshimika, unawajibu wa kuliishi hilo jina!, kama angekuwa amepewa na wazazi wake, ingekuwa ni kumuonea.

Huyu jamaa ni issue, alipoanza kutuia jina la Nyerere nilimuuliza humu amelipate, akajibu amejipa.

Vitambulisho vya nida vilipoanza, akajisajili kwa jina hilo na kusema ni jina la ukoo wa Nyerere wa Iringa, baba yake ni Yohanes Nyerere, hivyo ku justify kuwa hilo jina ni bonafide genuine sir name yake!.

P.
 
Back
Top Bottom