The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Jamaa ni dakika mbili mbele halafu ni tapeli kweli kweli. Japo utapeli wake ni wa kiwango cha chini lakini anafanikiwa kuwanasa baadhi ya watu.Hello
Ifike hatua huyu pimbi apigwe stop kutumia jina la mwalimu Nyerere analitia doa.
Nyerere Angekuwa na akili za kimalayamalaya kama za Yerico nchi hii angeipiga mnada na pengine uhuru ungechelewa sana.
Kama ilivyokuwa kwa Steve familia ya Nyerere inahaki ya kutoka hadharani na kumpiga stop huyu nyang'au ili asichafue legacy na jina la Mwaasisi wa Taifa letu.
NONSENSEHello

Mpuuzi sana huyu jamaa. Imagine akiwa chadema CCM imeteka imeua wanachama lakini leo hayo yote hayaoni anaikingia kifua CCM huo siyo ubinadamu hata kidogo. Hata wana CCM wanaojielewa hawawezi kufanya ujinga kama huoJamaa ni dakika mbili mbele halafu ni tapeli kweli kweli. Japo utapeli wake ni wa kiwango cha chini lakini anafanikiwa kuwanasa baadhi ya watu.
Very possibleTerico sina uhakika hata kama ni mtanzania hata kiswahili chake huwa kama matamshi yake mdomoni huwa yanasikika sio kazi yangu sio kuhukumu Ila nani anajua ndugu wa Yerico No wonder kajipachika Jina la Nyerere Kama Ngao
Wenye mikono iliyochafuka damu ya MO29 hamuwezi kuelewaNONSENSE
pole kuchanaganyikiwa gentleman, lakini huduma bora za afya zinapatikana kote nchini ili usaidikeWenye mikono iliyochafuka damu ya MO29 hamuwezi kuelewa
Dalali na tapeli wa kisiasa Yericko Nyerere.Mpuuzi sana huyu jamaa. Imagine akiwa chadema CCM imeteka imeua wanachama lakini leo hayo yote hayaoni anaikingia kifua CCM huo siyo ubinadamu hata kidogo. Hata wana CCM wanaojielewa hawawezi kufanya ujinga kama huo
Naunga mkono hoja, mtu ukijipa mwenyewe jina la kiongozi anayeheshimika, unawajibu wa kuliishi hilo jina!, kama angekuwa amepewa na wazazi wake, ingekuwa ni kumuonea.Hello