Amazon wanalipa kwa akaunti ya benki sio PayPal, hapo nashauri utumie bank kama ya equity, hizi benki za bongo nadhani hazina wataalam kwenu haya mambo maana nakumbuka benki moja ya bongo nlizungushwa kujisajili PayPal karibu mwaka mzima nikaipiga chini nikaenda benki nyingine ya nje nkamaliza shughuli siku hiohio. Kuhusu kupokea fedha kwa PayPal nadhani wengi wanendaga hapo mpakani Kenya kusajili line za safaricom ambazo ni kunga kazi kuanzia kupokea fedha PayPal, skrill, n.k uzuri wa hizo line ni kampuni moja na Voda ya hapa kwahio ukiwa tz itasoma Voda nanutaweza kutoa kwa mpesa