GE2025 Yerricho Nyerere enzi hizo: Chama namba 1 nchini ni CHADEMA huwezi kukiangusha

GE2025 Yerricho Nyerere enzi hizo: Chama namba 1 nchini ni CHADEMA huwezi kukiangusha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
"Hakuna anayeweza kukiua Chadema, Hakuna chief Odema chama cha upinzani zaidi ya Chadema ununu usinune, upende usipende, vingine vyote ni Vyama vya kwenye Flash" YERICKO NYERERE - enzi zake akiwa CHADEMA

 
Mmekifunga mdomo; halafu mnakebehi, steling hauwawi picha mpaka iishe,
 
Ndugai boy jamanii...ivi mbona wanawake hamfi washenzi nyie kila siku wanaume ndo wanakufa tu
 
halafu anaongea haraka haraka bila kituo wala koma wala kufikiri hata kidogo tu, ni ishara tosha kwamba ana low iq, kama huyo jamaa alikuwa na influence yoyote ile chadema hasa kwenye maamuzi basi chadema inabidi waintroduce meritocracy ambayo itawasaidia kupata watu high iq, the guy sounds below average hata kwa standard za tanzagiza ...
 
Back
Top Bottom