halafu anaongea haraka haraka bila kituo wala koma wala kufikiri hata kidogo tu, ni ishara tosha kwamba ana low iq, kama huyo jamaa alikuwa na influence yoyote ile chadema hasa kwenye maamuzi basi chadema inabidi waintroduce meritocracy ambayo itawasaidia kupata watu high iq, the guy sounds below average hata kwa standard za tanzagiza ...