Mmea Jr
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 798
- 1,871
Habari zenu waku, natumaini Jumapili ya leo ipo salama kabisa huko mlipo..
Nikiwa miongoni mwa watz, wengi ambao tukiamka tu jambo la kwanza tunashika simu zetu na kuangalia kama kuna jumbe au missed call yoyote ile katika simu zetu, sasa baada ya kupekua huku na kule nikasema ngoja niingie kwenye page moja hivi inaitwa Africa cities and skyscrapers, ghafla nikakuta na kitu ambacho kimeniumiza sana, huko nimekutana na bango fulani ambalo limeonekana limetumwa huko na ndugu zetu, jirani zetu wakenya. Likifichua au kuanika udhaifu wetu wa kiingereza,
Katika page hii, ndugu zetu hawa wamekuwa wakitumia sentensi hizi
1) victims of English language
2) Everything is okay until you ask a Tanzanian to speak English
3) When it is time to speak English Tanzanians people go in flight mode
Hizo juu ni sentendi baadhi tu, binafsi sikuwa zichukulia serious sana, maana nilikuwa ni utani tu wa jirani, sasa kuna hili bango nimeliatachi hapa chini, bango hili ni la mkandarasi fulani ambaye alikuwa anatengeneza barabara huko Karangwe, sehemu ya chini kabisa limeandikwa hivi
"H.I.V is killed "
Sasa kikawaida wakandarasi ni watu waliosoma wanaoelewa kingereza vizuri, sasa ilikuwaje tena waandike hivi au walikuwa wana maana ghani katika ujumbe huu walioiandikia jamii?? Ukweli nimeumia sana bango ili limetuvua nguo zote tena sawa sawa na mtu akuvue nguo stendi..