Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu kinafundishwa kuanzia darasa la tatu mpaka mavyuoni lakini bado hali ndiyo hiyo. Unajua inaweza kuwafanya watu wa Mataifa mengine wafikiri Watanzania wana tatizo la uelewa?Kweli hakiwezi kufanya hayo ulioliza ..
Lakini kama hatukiwezi mbona tunaking'ang'ania kuwafundisha wototo wetu mashuleni ??
Kwanini ili upate kazi kiiingereza kiwe moja ya sifa ya muombaji wa kazi ??
Majibu ,, inamaana kina umuhimu fulani mkuu ,,, sasa kama ni hivyo mbona hawa tuliowaamini na kuona wanakijua kwanini waruhu hili litokee ??
Like the father, like the son!🤣🤣🤣 Upo sahihi ,, mimi kinachoniuma kuona wasomi kabisa watu wamekaa miaka zaidi ya 15 ,, wakisoma tena kwa hii lugha ,, wanaruhusu vitu kama hivi vitokee
Kweli Dr unathubutu kucheka? Huionei nchi huruma?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
📌🔨Kujua kiingereza kunakuwezesha kuelewa mambo mengi kwa upana, kwasababu mambo mengi yanaelezewa kwa kiingereza(iwe ni ya kitaaluma, kibiashara nk)
Sio kwamba kitakulipa, hapana.
What the english itself says?Habari zenu waku, natumaini Jumapili ya leo ipo salama kabisa huko mlipo..
Nikiwa miongoni mwa watz, wengi ambao tukiamka tu jambo la kwanza tunashika simu zetu na kuangalia kama kuna jumbe au missed call yoyote ile katika simu zetu, sasa baada ya kupekua huku na kule nikasema ngoja niingie kwenye page moja hivi inaitwa Africa cities and skyscrapers, ghafla nikakuta na kitu ambacho kimeniumiza sana, huko nimekutana na bango fulani ambalo limeonekana limetumwa huko na ndugu zetu, jirani zetu wakenya. Likifichua au kuanika udhaifu wetu wa kiingereza,
Katika page hii, ndugu zetu hawa wamekuwa wakitumia sentensi hizi
1) victims of English language
2) Everything is okay until you ask a Tanzanian to speak English
3) When it is time to speak English Tanzanians people go in flight mode
Hizo juu ni sentendi baadhi tu, binafsi sikuwa zichukulia serious sana, maana nilikuwa ni utani tu wa jirani, sasa kuna hili bango nimeliatachi hapa chini, bango hili ni la mkandarasi fulani ambaye alikuwa anatengeneza barabara huko Karangwe, sehemu ya chini kabisa limeandikwa hivi
"H.I.V is killed "
Sasa kikawaida wakandarasi ni watu waliosoma wanaoelewa kingereza vizuri, sasa ilikuwaje tena waandike hivi au walikuwa wana maana ghani katika ujumbe huu walioiandikia jamii?? Ukweli nimeumia sana bango ili limetuvua nguo zote tena sawa sawa na mtu akuvue nguo stendi..
View attachment 3041871
acha kutetea ujinga mkuu.Hiyo sentensi iko sawa hasa ukizingatia imeandikwa na mtu ambaye lugha ya kiingereza sio lugha mama.
H.I.V- ni kifupi cha Human Immunodeficiency Virus. Kwa maana kwamba H.I.V ni kirusi (kiumbe kinachoishi/hai) ambacho kinaweza kuuawa (Can be killed).
A.I.D.S - ni kifupi cha Acquired immunodeficiency Syndrome. Kwa lugha yetu ya Kiswahili inatafsiriwa kama UKIMWI (Upungufu wa Kinga Mwilini). Hili ni tatizo linalosababishwa na kirusi tajwa hapo juu.
Kwa hiyo aliyeandaa bango kwa tafsiri ya kawaida hayupo grammatically incorrect kama ambavyo amekuwa addressed na mtoa mada, kwa sababu Kirusi kinachosababisha UKIMWI kinaweza kuuawa.
I stand to be corrected.
shida ni wanaofundisha kiingereza wenyewe hawajui kiingerezaHalafu kinafundishwa kuanzia darasa la tatu mpaka mavyuoni lakini bado hali ndiyo hiyo. Unajua inaweza kuwafanya watu wa Mataifa mengine wafikiri Watanzania wana tatizo la uelewa?
Sitetei ujinga mkuu lakini kilichoandikwa pale kipo sawa tu na kinaeleweka vizuri zaidi kwa jamii yetu ya kitanzania ambayo kiingereza hakizungumzwi sana.acha kutetea ujinga mkuu.
sawa mkuuSitetei ujinga mkuu lakini kilichoandikwa pale kipo sawa tu na kinaeleweka vizuri zaidi kwa jamii yetu ya kitanzania ambayo kiingereza hakizungumzwi sana.
Huenda pia aliyeandika hana misamiati ya kutosha ya lugha ya kiingereza.
Lakini pia ningekuwa mimi nisingeandika kama vile.
Aliyeandika anakosaje misamiati ya kuandika na huku kasoma hadi Chuo?Sitetei ujinga mkuu lakini kilichoandikwa pale kipo sawa tu na kinaeleweka vizuri zaidi kwa jamii yetu ya kitanzania ambayo kiingereza hakizungumzwi sana.
Huenda pia aliyeandika hana misamiati ya kutosha ya lugha ya kiingereza.
Lakini pia ningekuwa mimi nisingeandika kama vile.
Nadhani unajua kabisa mkuu kwamba sio kila aliyefika chuo anaweza kuwa na misamiati mingi ya kiingereza anayoweza kutumia kuleta ujumbe bila mkanganyiko.Aliyeandika anakosaje misamiati ya kuandika na huku kasoma hadi Chuo?
Sijakukatalia mkuu. Hilo nalifahamu. Hata mavyuoni wakati mwingine wahadhari (baadhi) wameonekana kubabaika kwenye suala la lugha. Issue ni hii:Nadhani unajua kabisa mkuu kwamba sio kila aliyefika chuo anaweza kuwa na misamiati mingi ya kiingereza anayoweza kutumia kuleta ujumbe bila mkanganyiko.
Hapana mkuu kiuhalisia haikutakiwa kuwa hivyo.Sijakukatalia mkuu. Hilo nalifahamu. Hata mavyuoni wakati mwingine wahadhari (baadhi) wameonekana kubabaika kwenye suala la lugha. Issue ni hii:
1. Ni halali hilo kutokea?
2. Kuna haja ya kuendelea kumfundisha kwa lugha ya Kiingereza kama wahitimu wenyewe ndiyo wanakuwa hivyo?
3. Si bora tu sasa Kiingereza kingeondolewa kwenye mitaala ijulikane kuwa Tz hawafubdishwi hiyo lugha?
4. Unafahamu kuwa kuna darasa la saba wanaoongea Kizungu kizuri baada ya kwenda English course ya miezi kadhaa kuzidi baadhi ya wahitimu wa Chuo Kikuu?
Okay imeelezea kasayansi kidogo ,, mimi siyo mwalimu wa kiingereza lakini ntajaribu kukuelekeza kwa kadri navyoelewa hii lughaHiyo sentensi iko sawa hasa ukizingatia imeandikwa na mtu ambaye lugha ya kiingereza sio lugha mama.
H.I.V- ni kifupi cha Human Immunodeficiency Virus. Kwa maana kwamba H.I.V ni kirusi (kiumbe kinachoishi/hai) ambacho kinaweza kuuawa (Can be killed).
A.I.D.S - ni kifupi cha Acquired immunodeficiency Syndrome. Kwa lugha yetu ya Kiswahili inatafsiriwa kama UKIMWI (Upungufu wa Kinga Mwilini). Hili ni tatizo linalosababishwa na kirusi tajwa hapo juu.
Kwa hiyo aliyeandaa bango kwa tafsiri ya kawaida hayupo grammatically incorrect kama ambavyo amekuwa addressed na mtoa mada, kwa sababu Kirusi kinachosababisha UKIMWI kinaweza kuuawa.
I stand to be corrected.
Nisaidie tafsiri yake mkuu!Kuna jamaa alipost FB,halafu picha inaonesha mke wa jamaa anamnyonyoa kuku aliyechinjwa manyoya,jamaa akaandika..
"We are waiting hen until cooking"
Yes, paying toilet🤣🤣🤣I reserve my comments till further notice