ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Kwamba hata nyie mnaungaunga?Hata gen z hali ni mbaya mzee wangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba hata nyie mnaungaunga?Hata gen z hali ni mbaya mzee wangu.
😀Kwani kakosea wapi hapo? HIV is killed..
HIV imeuawa au vipi
Kujua kiingereza kunakuwezesha kuelewa mambo mengi kwa upana, kwasababu mambo mengi yanaelezewa kwa kiingereza(iwe ni ya kitaaluma, kibiashara nk)Mnahangaika sana
Hichi kiingereza kitaleta chakula mezani
Kitawajengea nyumba
Mbona hao wakenya wenyewe mnaosema wanajua kila siku ni njaa kwao kingewafanya wawe wa dunia ya kwanza. Lkn ndio wenyemaisha magumu wengi.
Huko marekani wanaoongea kiingereza bado kuna watu wanaishi kama wapo jehanamu.
Mno....Kwamba hata nyie mnaungaunga?
Hawakosei, lugha zinapitia mageuzi kwahiyo lazima kuwe na lafudhi, na maneno mapya mbalimbali.... hata sarufi inabadilika kidogoNative speakers wenyewe wanakosea kiingereza, acha uzuzu. Hata sisi native Swahili speakers tunakosea kiswahili lakini hatuchekani. Why iwe kwenye kiingereza?
Lakini si mlisema Kizungu si muhimu kwa sababu mmejitosheleza hivyo hamuhitaji kwenda kwa waongea Kizungu?Habari zenu waku, natumaini Jumapili ya leo ipo salama kabisa huko mlipo..
Nikiwa miongoni mwa watz, wengi ambao tukiamka tu jambo la kwanza tunashika simu zetu na kuangalia kama kuna jumbe au missed call yoyote ile katika simu zetu, sasa baada ya kupekua huku na kule nikasema ngoja niingie kwenye page moja hivi inaitwa Africa cities and skyscrapers, ghafla nikakuta na kitu ambacho kimeniumiza sana, huko nimekutana na bango fulani ambalo limeonekana limetumwa huko na ndugu zetu, jirani zetu wakenya. Likifichua au kuanika udhaifu wetu wa kiingereza,
Katika page hii, ndugu zetu hawa wamekuwa wakitumia sentensi hizi
1) victims of English language
2) Everything is okay until you ask a Tanzanian to speak English
3) When it is time to speak English Tanzanians people go in flight mode
Hizo juu ni sentendi baadhi tu, binafsi sikuwa zichukulia serious sana, maana nilikuwa ni utani tu wa jirani, sasa kuna hili bango nimeliatachi hapa chini, bango hili ni la mkandarasi fulani ambaye alikuwa anatengeneza barabara huko Karangwe, sehemu ya chini kabisa limeandikwa hivi
"H.I.V is killed "
Sasa kikawaida wakandarasi ni watu waliosoma wanaoelewa kingereza vizuri, sasa ilikuwaje tena waandike hivi au walikuwa wana maana ghani katika ujumbe huu walioiandikia jamii?? Ukweli nimeumia sana bango ili limetuvua nguo zote tena sawa sawa na mtu akuvue nguo stendi..
View attachment 3041871
Ni wewe uliyeliandika hilo bango?Nilikuwa nakuheshimu sana mkuu ila hapa umechemka😂🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Habari zenu waku, natumaini Jumapili ya leo ipo salama kabisa huko mlipo..
Nikiwa miongoni mwa watz, wengi ambao tukiamka tu jambo la kwanza tunashika simu zetu na kuangalia kama kuna jumbe au missed call yoyote ile katika simu zetu, sasa baada ya kupekua huku na kule nikasema ngoja niingie kwenye page moja hivi inaitwa Africa cities and skyscrapers, ghafla nikakuta na kitu ambacho kimeniumiza sana, huko nimekutana na bango fulani ambalo limeonekana limetumwa huko na ndugu zetu, jirani zetu wakenya. Likifichua au kuanika udhaifu wetu wa kiingereza,
Katika page hii, ndugu zetu hawa wamekuwa wakitumia sentensi hizi
1) victims of English language
2) Everything is okay until you ask a Tanzanian to speak English
3) When it is time to speak English Tanzanians people go in flight mode
Hizo juu ni sentendi baadhi tu, binafsi sikuwa zichukulia serious sana, maana nilikuwa ni utani tu wa jirani, sasa kuna hili bango nimeliatachi hapa chini, bango hili ni la mkandarasi fulani ambaye alikuwa anatengeneza barabara huko Karangwe, sehemu ya chini kabisa limeandikwa hivi
"H.I.V is killed "
Sasa kikawaida wakandarasi ni watu waliosoma wanaoelewa kingereza vizuri, sasa ilikuwaje tena waandike hivi au walikuwa wana maana ghani katika ujumbe huu walioiandikia jamii?? Ukweli nimeumia sana bango ili limetuvua nguo zote tena sawa sawa na mtu akuvue nguo stendi..
View attachment 3041871
Mnataka kumwonea tu. Kaandika kama alivyofundishwa na Mwalimu wake.Huyu aliyeandika hapa ni either kandarasi wa kikenya aliyekuwa anatudhihaki, au ni mbongo mvuta bange. kama kandarasi anaweza kuandika hivi, hicho atakachojenga hapo kitafaa kweli? achukuliwe hatua kabisa.
Uliionaga hukumu iliyoandikwa na Hakimu aliyekuwa akisikiliza kesi ya Sugu kule Mbeya? Unakumbuka ilivyotrend TikTok Kenya?Mimi nimeumia sana wakandarasi wasomi kabisa inamaana walishindwa kungamua shida iliyokuwepo hapo kwenye bango ??
Ambiguit.Kwani kakosea wapi hapo? HIV is killed..
HIV imeuawa au vipi
Hoja yako haina mashiko mkuu. Mtu aliyesoma hadi Chuo hapaswi kukosea kwa kiwango hicho. Hivi kweli utakuwa na amani kumtumia huyo akakuwakikishe kama mtaalamu kwenye jumuiko la wataalam wa Kimataifa?Native speakers wenyewe wanakosea kiingereza, acha uzuzu. Hata sisi native Swahili speakers tunakosea kiswahili lakini hatuchekani. Why iwe kwenye kiingereza?
Kwamba HIV huko ishakuwa marehemu?Kikubwa ujumbe umefika
HIV is killed🤣🤣🤣Ujumbe gani kaka ???
H.I.V is killled ?
H.I.V is killing ?
H.I.V kills ?
Wameshikwa na butwaa!Wenye lugha yao wamelalamika?
Sawa we unavyoona ukimwi upo kweli?🤣🤣🤣 H.I.V is killed
It means ,, H. i. V , doesn't exist anymore ,, H.i.v is no longer a threat in this world we are living in ..
Ni kweli ,, H.I.V si tishio , kweli ugonjwa huu haupo ?? Maana huu ndiyo ujumbe uliopo hapo ??
Yes sir. HIV is dead!Kwani kakosea wapi hapo? HIV is killed..
HIV imeuawa au vipi
According to the author, HIV is no more😄🤣🤣🤣 H.I.V is killed
It means ,, H. i. V , doesn't exist anymore ,, H.i.v is no longer a threat in this world we are living in ..
Ni kweli ,, H.I.V si tishio , kweli ugonjwa huu haupo ?? Maana huu ndiyo ujumbe uliopo hapo ??
Pole sana mkuu kama huo ndiyo mtazamo wako!Mnahangaika sana