Yes!! English never loved us, not to this extent

Kujua kiingereza kunakuwezesha kuelewa mambo mengi kwa upana, kwasababu mambo mengi yanaelezewa kwa kiingereza(iwe ni ya kitaaluma, kibiashara nk)

Sio kwamba kitakulipa, hapana.
 
Kwamba hata nyie mnaungaunga?
Mno....

Kusoma english medium sio kigezo, walimu wengi wa english medium wametokea kayumba kwahiyo hata kufundisha kwa kiingereza hawawezi wanapiga swaenglish.

gen z wanaoweza kujieleza kwa kiingereza ni wachache mno, na wengi ni wa International schools huko
 
Hiyo sentensi iko sawa hasa ukizingatia imeandikwa na mtu ambaye lugha ya kiingereza sio lugha mama.

H.I.V- ni kifupi cha Human Immunodeficiency Virus. Kwa maana kwamba H.I.V ni kirusi (kiumbe kinachoishi/hai) ambacho kinaweza kuuawa (Can be killed).

A.I.D.S - ni kifupi cha Acquired immunodeficiency Syndrome. Kwa lugha yetu ya Kiswahili inatafsiriwa kama UKIMWI (Upungufu wa Kinga Mwilini). Hili ni tatizo linalosababishwa na kirusi tajwa hapo juu.

Kwa hiyo aliyeandaa bango kwa tafsiri ya kawaida hayupo grammatically incorrect kama ambavyo amekuwa addressed na mtoa mada, kwa sababu Kirusi kinachosababisha UKIMWI kinaweza kuuawa.

I stand to be corrected.
 
Native speakers wenyewe wanakosea kiingereza, acha uzuzu. Hata sisi native Swahili speakers tunakosea kiswahili lakini hatuchekani. Why iwe kwenye kiingereza?
Hawakosei, lugha zinapitia mageuzi kwahiyo lazima kuwe na lafudhi, na maneno mapya mbalimbali.... hata sarufi inabadilika kidogo

Watanzania wengi hawajui hata hicho 'kiingereza cha kukosea'

Kiswahili halisi kile cha wapemba wanaokiongea ni wachache lakini ukikutana na mzungu anaongea hichi kiswahili cha kawaida cha mambo vipi utasema hajui kiswahili?
 
Lakini si mlisema Kizungu si muhimu kwa sababu mmejitosheleza hivyo hamuhitaji kwenda kwa waongea Kizungu?

Hata hivyo, inawezekana wewe ndiyo hujamwelewa mwandika bango. Inawezekana alimaanisha kuwa UKIMWI UMESHAUAWA hapo Karagwe hivyo watu wasiwe na hofu, labda alimaanisha hivyo ingawa kakosea kidogo kwenye tense.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huyu aliyeandika hapa ni either kandarasi wa kikenya aliyekuwa anatudhihaki, au ni mbongo mvuta bange. kama kandarasi anaweza kuandika hivi, hicho atakachojenga hapo kitafaa kweli? achukuliwe hatua kabisa.
Mnataka kumwonea tu. Kaandika kama alivyofundishwa na Mwalimu wake.
 
Mimi nimeumia sana wakandarasi wasomi kabisa inamaana walishindwa kungamua shida iliyokuwepo hapo kwenye bango ??
Uliionaga hukumu iliyoandikwa na Hakimu aliyekuwa akisikiliza kesi ya Sugu kule Mbeya? Unakumbuka ilivyotrend TikTok Kenya?
 
Native speakers wenyewe wanakosea kiingereza, acha uzuzu. Hata sisi native Swahili speakers tunakosea kiswahili lakini hatuchekani. Why iwe kwenye kiingereza?
Hoja yako haina mashiko mkuu. Mtu aliyesoma hadi Chuo hapaswi kukosea kwa kiwango hicho. Hivi kweli utakuwa na amani kumtumia huyo akakuwakikishe kama mtaalamu kwenye jumuiko la wataalam wa Kimataifa?
 
🤣🤣🤣 H.I.V is killed
It means ,, H. i. V , doesn't exist anymore ,, H.i.v is no longer a threat in this world we are living in ..
Ni kweli ,, H.I.V si tishio , kweli ugonjwa huu haupo ?? Maana huu ndiyo ujumbe uliopo hapo ??
Sawa we unavyoona ukimwi upo kweli?
 
🤣🤣🤣 H.I.V is killed
It means ,, H. i. V , doesn't exist anymore ,, H.i.v is no longer a threat in this world we are living in ..
Ni kweli ,, H.I.V si tishio , kweli ugonjwa huu haupo ?? Maana huu ndiyo ujumbe uliopo hapo ??
According to the author, HIV is no more😄
 
Pole sana mkuu kama huo ndiyo mtazamo wako!

Ulichangia kwa kiasi gani kukilemaza Kizungu nchini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…