YES! KUNA MAPENZI ZAIDI YA PESA! Unaweza kuwa na mshiko ukawa unachunwa vile vile wanahongwa wenzio!

MONEY, MULLA, CHILLETE, DOUGH, CHEESE, PAPER, BENJAMINS, JALA, MKWANJA, MZIGO hii kitu inaleta matatizo sana duniani lakini ukweli ni kwamba its the 2nd most important thing after oxygen. I believe you can have it all, the money and true love, why not?
Hela inalevya ndo ubaya wake!
 
Hela inalevya ndo ubaya wake!
You are the master and money is your servant, ukielewa ivyo utaendelea kuenjoy all the good things your servant can do for ou
 
Aisee, ni lara 1 yule yule au. Hongera unazidi kukua.
Honestly furaha ya kweli haipo kwenye utajiri, wachache wanagundua hayo.

kila shetani na mbuyu wake jamani, wengine hata keyboard zetu ziko anointed from the man of God prophet tb Joshua.
 
Last edited by a moderator:
kila shetani na mbuyu wake jamani, wengine hata keyboard zetu ziko annoyited from the man of God prophet tb Joshua.

Hongera, una part umeplay hadi amekuwa new Lara? Haya bandika na sticker basi kwenye hiyo laptop. Lol
 
Wakati mwingine watu wanachanganya raha na furaha.Unaeza ukawa unapata raha kwa vitu unavyomiliki au kufanya lakini usiwe na furaha.Wako wanawake wanatamani wanaume matajiri wakijua watapata furaha kuwa nao kumbe wakati mwingine watapata tu raha kuwa nao na wala sio furaha.
 
kila shetani na mbuyu wake jamani, wengine hata keyboard zetu ziko annoyited from the man of God prophet tb Joshua.

Hahahahahaaaaaa .......

Hatimae anointed imemnasa lara 1 .........!!
 
Last edited by a moderator:
Wakati mwingine watu wanachanganya raha na furaha.Unaeza ukawa unapata raha kwa vitu unavyomiliki au kufanya lakini usiwe na furaha.Wako wanawake wanatamani wanaume matajiri wakijua watapata furaha kuwa nao kumbe wakati mwingine watapata tu raha kuwa nao na wala sio furaha.

Hutaki mwenye hela?
 
Its true jaman kuwa na hela sana haimaanish unafurahaa
 
Mhhh leo lara woke up on a different side of the bed,,,,,
Money is important jmn tusidanganyane...hapiness is a state of mind wether rich or poor..navoona pesa itakutesa if u worship it or do the extreme just to earn it,u-earn kihalali afu ikusumbuee??....mhh maybe siku nikizikamataa haswaaa ndo ntasema pesa ikoje..
 
Hahahahahaaaaaa .......

Hatimae anointed imemnasa lara 1 .........!!

thanks mkuu for collection,

back to topic kwa nini mmejenga imani kwamba honey yeye alikuwa money lover tu? trust alikuwa hajafikiwa na upako kutoka kwa matola.

iko hivyo ni kwamba humu wengi hawako serious wanataka kuwapanga wadada kama mabehewa ya treni ya mwakyembe.

life taste good mkuu usipime na kama ujuavyo hii shughuri tunaimaliza mapema kabla wachaji hawajatia mikono maana mimi si muumini wa uchumba sugu wala serikali mbili.
 
Last edited by a moderator:
Mhhh leo lara woke up on a different side of the bed,,,,,
Money is important jmn tusidanganyane...hapiness is a state of mind wether rich or poor..navoona pesa itakutesa if u worship it or do the extreme just to earn it,u-earn kihalali afu ikusumbuee??....mhh maybe siku nikizikamataa haswaaa ndo ntasema pesa ikoje..

huu ndio unaitwa uchachozi sasa, yeye alishakuwa muumini wa siasa hizo sasa amesema basi wewe unamletea mawazo ya lucifer sasa.

first of all anavyosema money is not everything si kwamba she fall in love kwangu eti labda mimi karubandika, hapana mimi niko middle class she is safe with me with all support she deserve as a woman not a bitch.
 
thanks mkuu for collection,

back to topic kwa nini mmejenga imani kwamba honey yeye alikuwa money lover tu? trust alikuwa hajafikiwa na upako kutoka kwa matola.

iko hivyo ni kwamba humu wengi hawako serious wanataka kuwapanga wadada kama mabehewa ya treni ya mwakyembe.

life taste good mkuu usipime na kama ujuavyo hii shughuri tunaimaliza mapema kabla wachaji hawajatia mikono maana mimi si muumini wa uchumba sugu wala serikali mbili.

Mkuu mimi kwa uzoefu wangu najua aina ya wanawake kama lara 1 nao ni binadamu kama wengine hivyo nao wanahitaji yale yale ambayo binadamu wengine wanayahitaji suala lilikuwa ni muda tu

Unaweza kuwa ni mtu wa kupenda totoz sana lakini kuna mahali utakuja kukamatika na utakuwa hukohoi hata kidogo,sasa lara 1 yeye kilichokuwa kinasubiriwa ni muda tu a umefika

Kwa ninavyokujua kamanda,huyu lara 1 amepata MWANAUME hasa na hitaji lake limetimia kabisa

Sina wasiwasi na wewe kamanda!
 
Last edited by a moderator:
Elimu yake, umri wake, dini yake, kuona kwake mbali na mengine meeengi.

Hebu niambie umuhimu wa Elimu kwenye mapenzi
Niambei umuhimu wa dini kwenye mapenzi

Karibu ...!!
 
thanks mkuu for collection,

back to topic kwa nini mmejenga imani kwamba honey yeye alikuwa money lover tu? trust alikuwa hajafikiwa na upako kutoka kwa matola.

iko hivyo ni kwamba humu wengi hawako serious wanataka kuwapanga wadada kama mabehewa ya treni ya mwakyembe.

life taste good mkuu usipime na kama ujuavyo hii shughuri tunaimaliza mapema kabla wachaji hawajatia mikono maana mimi si muumini wa uchumba sugu wala serikali mbili.

Unaupako gani wewe pi.mbi...Au ni mbwebwe tu za uvulana zinakusumbua we dv5.
 
Back
Top Bottom