Hela inalevya ndo ubaya wake!MONEY, MULLA, CHILLETE, DOUGH, CHEESE, PAPER, BENJAMINS, JALA, MKWANJA, MZIGO hii kitu inaleta matatizo sana duniani lakini ukweli ni kwamba its the 2nd most important thing after oxygen. I believe you can have it all, the money and true love, why not?
Aisee, ni lara 1 yule yule au. Hongera unazidi kukua.
Honestly furaha ya kweli haipo kwenye utajiri, wachache wanagundua hayo.
na watu wote tuseme amen...
usinisahau mie na mpwa wako kutupa majukumu
kila shetani na mbuyu wake jamani, wengine hata keyboard zetu ziko annoyited from the man of God prophet tb Joshua.
Wakati mwingine watu wanachanganya raha na furaha.Unaeza ukawa unapata raha kwa vitu unavyomiliki au kufanya lakini usiwe na furaha.Wako wanawake wanatamani wanaume matajiri wakijua watapata furaha kuwa nao kumbe wakati mwingine watapata tu raha kuwa nao na wala sio furaha.
Money is Everything Lara
Hutaki mwenye hela?
Mhhh leo lara woke up on a different side of the bed,,,,,
Money is important jmn tusidanganyane...hapiness is a state of mind wether rich or poor..navoona pesa itakutesa if u worship it or do the extreme just to earn it,u-earn kihalali afu ikusumbuee??....mhh maybe siku nikizikamataa haswaaa ndo ntasema pesa ikoje..
Yeyote ningemkubali kama tu mambo mengine angeniridhisha.
Mambo yapi hayo?
thanks mkuu for collection,
back to topic kwa nini mmejenga imani kwamba honey yeye alikuwa money lover tu? trust alikuwa hajafikiwa na upako kutoka kwa matola.
iko hivyo ni kwamba humu wengi hawako serious wanataka kuwapanga wadada kama mabehewa ya treni ya mwakyembe.
life taste good mkuu usipime na kama ujuavyo hii shughuri tunaimaliza mapema kabla wachaji hawajatia mikono maana mimi si muumini wa uchumba sugu wala serikali mbili.
Elimu yake, umri wake, dini yake, kuona kwake mbali na mengine meeengi.