lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,164
Anyeong haseyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo! (Mambo ya Kim Un)
Imeaminika na inavumishwa sanaaa na wazambi wachache, watu wa mataifa kuwa pesa ndo kila kitu! Bila pesa sijui usijisumbue, blah! Blah! Blah! SI KWELI! Wapo watu kibao nampesa zao they cant get a girl to marry them, or cant make a wife keep her legs closed.
Well pesa ni muhimu na inamata sanaa kwa watu wasiokuwa nayo. And money CAN NEVER BUY YOU HAPPINESS! Kuna watu wadada wa mjini wameolewa na GAY people, BISEXUALS kukomaa na hela, ila wako frustrated. Very frustrated. Wanapost post insta ila tunajua ishu zao.
Nimeshuhudia mwenyewe kwa experience yangu watu wana MAHELA ila hawana furaha kabisaaa! Mtu anakupa ATM toa unazotaka! Ila dunia kwake chachu chachu haswaa! Unaweza ku aspire nikipata hela nikaenda sehemu flani, nitakuwa na furaha sanaa! Believe me ukifika pale unawaza ningekuwa na kina flani pangenoga zaidi.
Kila mtu ana mapungufu yake, wengine vibamiosis, wengine broke ass, wengine lazy bill, wengine free p, wengine bahili, wengine wana gundu etc etc. WITH ALL YOUR DEFECTS THERE IS STILL A CHANCE TO FIND HAPPINESS! JUST DONT GIVE UP ON IT!
Upendo wako unaweza usiwe appreciated, jst love anyway, unaweza ukatoa sanaa na bado ukachunwa zaidi, just give anyway, unaweza kuwa muaminifu ukachitiwa, jst be faithful anyway, hata kama mumeoa hakupendi mpende hivo hivo! DOT LET THE UNGRATEFULL WORLD CHANGE YOU TO SOMETHING YOU ARE NOT
P.s. I LOVE YOU PIKO WA MOYO WANGU Matola
Afu modes FYI hili bundle nimekopa, hii tablet nimeazima kwa shemeji, ili tu nitupie kitu hapa MMU sasa mkiuhamisha huu uzi nakuja na PANGA! lol! Msiuhamishe bana!

Last edited by a moderator: